Infact world nuclear weapons Russia anaongoza akifuatiwa na US and China hao wengne wanazo ila kdgo Sana Sasa ogopa mchina aki link up na Russia hao NATO wako watajificha chn ya mperaWaambie hao wanaolishwa propaganda na Putin
Yah nimesikia leo Russia inasafirisha watu kotoka Karkiv kwend miji ya RussiaHahaha una uhakika? Embu google hapa alafu share nasi screenshot. Cha kukumbusha tu, miji ya crimea, Donetsk luhansk imeenda... mariopol, odesa, na kharkiv ndio wanamalizia kuondoa raia waichukue kabisa. Unadhan Zelensky analia bure anaposema Nato haiana nguvu... amepigwa.
Tatifini ili muwe na maarifa ya kutosha.Mpaka SASA hivi Hali ndo hivyo au basi leta taarifa inayowenza kukinzana na hii.hakuna nchi yenye mabomu hatari ya nuclear kama Russia.Hata hujui umekopi nini!!!!
Hizo ni data za majaribio na matokeo ya mabamu hayo...
Umeangalia miaka?
India wamepewa offer ya discount US akategemea India akatae[emoji3]India snubs US call to isolate Moscow
The country buys more Russian oil despite pressure from Washington
India’s largest oil and gas company, Indian Oil Corporation (IOC), bought three million barrels of Urals crude oil from Russia on Wednesday, the Deccan Herald newspaper reported citing trade sources.
According to the publication, the oil was purchased through European trader Vitol at an undisclosed discount.
This is the second time the Indian company has bought oil from Russia since Western sanctions were imposed on Moscow over the conflict in Ukraine. Despite repeated calls for India to join in isolating Russia, New Delhi has been reluctant to cut ties with Moscow and even deemed the current situation an opportunity to broaden cooperation. Talks are currently being held regarding mechanisms to switch to Russian rubles and Indian rupees in a mutual trade to avoid using the euro and dollar.
Urusi ina vichwa vingi vya nyuklia 6000+, USA 5000+. Ila wing sio ukubwa na uhatari .Tatifini ili muwe na maarifa ya kutosha.Mpaka SASA hivi Hali ndo hivyo au basi leta taarifa inayowenza kukinzana na hii.hakuna nchi yenye mabomu hatari ya nuclear kama Russia.
Unazidi kudhihirisha ujinga wako...hiyo sio mada tuliyokuwa twajadili, ulikurupukaHuelewi zaidi ya ushamba na ushabiki....................
Mpendwa, kwa bahati mbaya huna habari, unajadili jambo ambalo hulielewi.Moscow anasilaha hatari zaidi za nuclear.kwahiyo Marekano hawatapata Muda hata wa kunywa maji.
Nimeona unachangia katika mada hii kuhusu nuclear weapons. Je upo tayari kujifunza tukufundishe!?Urusi ina vichwa vingi vya nyuklia 6000+, USA 5000+. Ila wing sio ukubwa na uhatari .
Us mhuni sana.Turkey rejects Ukraine ‘precondition’ to receive weapons from US
Ankara says its removal from Washington’s fighter jet program was “unlawful”
“It is the responsibility of the West and especially the US to normalize relations with Turkey,” Altun wrote in a letter to the Wall Street Journal (WSJ) on Wednesday. He added that “what the West must do is deliver the F-35 fighter jets and Patriot batteries to Turkey without preconditions.”
The spokesman wrote that Washington’s removal of Turkey from the F-35 program in 2019 was “unlawful.” The US refused to deliver the promised planes after Ankara rejected its demand to scrap the purchase of S-400s.
Lakini Russia ndiyo inamabomu makubwa kuliko USA na ushahidi upoUrusi ina vichwa vingi vya nyuklia 6000+, USA 5000+. Ila wing sio ukubwa na uhatari .
Russia anamiliki powerful rocket on Earth US wanatambua HiloUrusi ina vichwa vingi vya nyuklia 6000+, USA 5000+. Ila wing sio ukubwa na uhatari .
Mchina bado anamkomalia US na biological labs zake UKR. Kama US alivyomkomalia kwenye ishu ya korona. Ni kukomaliana tu kila mtu ana ndevu (mkubwa).[emoji298] Chinese Defence Ministry: The US should explain what the goals of their military biological projects are and why there’s no public information about these projects
In short if Russia na US wataamua kwenda vitani full scale warfare chance of winner Ni 0 labda survivors wanaweza patikana.Mpendwa, kwa bahati mbaya huna habari, unajadili jambo ambalo hulielewi.
Tangu miaka ya 1950 majeshi ya Marekani na Urusi walipanga wanfanye nini wakipata taarifa kwamba upande mwingine unarush makombora mengi yanayoelekea kwao. Yote yameandaliwa (na kila upande unaijua na hapa sababu kuu kwamba hadi sasa hatujaona vita ya moja kwa moja kati ya Marekani na Urusi - hali hii ina inatwa "mutually assured destruction").
Mipango ni hii: wakati kituo kikuu upande moja inaona kupitia satelaiti zake kwamba makombora mengi yanarushwa katika vituo vya nchi nyingine (vituo vinajulikana, vinatazamiwa mfululizo kila siku kwa satelaiti) amri inapelekwa kwa vituo vya wenyewe kuandaa kila kitu kwa kurusha.
Kuna kipindi kifupi cha dakika chache (maana roketi itakuwa hewani takriban dakika 20-30) kupiga simu na kuuliza: je tunaona roketi zenu, mnatushambulia kweli?).
Baadaye mpango ni hata kama roketi za adui ziko njiani na zitaharibu upande wetu, sisi bado tunaweza kurusha roketi zetu zitakazofika upande mwingine kidogo baadaye.
na hata kama vituo vingi vya roketi upande mmoja vinaharibika tayari, bado kuna nyambizi baharini zitakazorusha roketi tzake kidogo baadaye. Silaha za nyambizi za marekani zinatisha kuangamiza miji yote ya Urusi, hata kama Marekani imekufa tayari.
Hivyi ndivyo ilivyoandaliwa tangu miaka zaidi ya 50 kila upande, na mara kwa mara wanafanya mazoezi wawe tayari.
Endelea ku kopi mkuu....google ipo.Unazidi kudhihirisha ujinga wako...hiyo sio mada tuliyokuwa twajadili, ulikurupuka
Kaka bado hujaelewa matumizi ya silaha za nyuklia yanamaanisha nini? Silaha za marekani yanatosha kwa Urusi pamoja na China.... Ila hakuna anayetaka kuanza kwa sababu anaju ni mwisho wake mwenyewe pia.Infact world nuclear weapons Russia anaongoza akifuatiwa na US and China hao wengne wanazo ila kdgo Sana Sasa ogopa mchina aki link up na Russia hao NATO wako watajificha chn ya mpera