Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Chernobyl hakuwa mlipuko , ilikuwa moto tu. Wakati wa milipuko vumbi hurushwa juu zaidi hadi kimo ambako upepo unazunguka dunia yetu. Hivyo viwango vya mnururisho vitaongezeka sehemu nyingi za Dunia, hata maeneo ya mbali kabisa. (hii tunajuakwa hakika maana kuna maarifa jinsi gani vumbi inasambaa kote duniani baada ya milipuko ya volkeno).
Maana yake magonjwa ya kansa yangeongezeka hata kilomita elfu kadhaa kutoka mahali pa milipuko.
Ndio inaitwa unafki. Ukienda kwa huyu unasema hivi ukienda kwa yule unasema vile.Sisi hatuna rafiki wala adui wa kudumu.
Mimi nazungumzia Russia na uwezo mdogo iliyoonyesha kwenye hii vita,Marekani itafutie nafasi yoyote unayoona inafaamarekani na nato walipigana vita na talban zaid ya miaka na wakapigika kingese
Nayo marekani tuiweke wapi kwenye medani za kivita ?
Maslahi yetu kwanza. We tuite vyovyote ila hatupigani vita vyako kama havina maslahi kwetu.Ndio inaitwa unafki. Ukienda kwa huyu unasema hivi ukienda kwa yule unasema vile.
Mpendwa, unachanganya mambo tena. Rada inapima kwa kasi ya nuru hivyo kasi ya 10 mach si changamoto kwa rada.Sorry kwa sababu unataka kujifunza.
1. Kuweza kabisa unatakiwa ujue missile maana yake.
2. Unatakiwa ujue maana ya warhead.
Baada ya kujifunza hayo utakuja uelewe kwamba missile huwa inabeba warhead. Warheads zinaweza kuwa ni za mlipuko wa kawaida au nuclear.
Sasa avangard ni missile speed yake ni hypersonic. Yaani zaid mara 10 ya speed ya sauti. Au unaweza ukasema 10 mach.
Sasa avangard haiwezi kuwa treced na radar yoyote kutokana na speed yake.
Vilevile avangard inaweza kubeba nuclear warhead.
Kwa kifupi tu ni hivyo.
Asante...nami nawazia hivyoEndapo urusi atafanikiwa kuuza gesi yake ulaya kwa ruble na saudia akafanikiwa kuuza mafuta yake kwa yuan ni hatari sana kwa usd na kwa america kwa ujumla.
Tuone muda utasemaje. Hizi mambo naona km wakubwa wanacheza chess vile. Kila move naiona kama 'Kete' zinazosukumwa kwa ustadi mkubwa na uangalifu. Putin akifanya move moja anasubiria kuona watareact vipi wakati huo kichwani anazo option kadhaa kama wakimove hivi atareact hivi taabu ni pale wanapomove vile asivyotarajia. US&Co Pia. Wakati wowote game inabadilika aliyekuwa anashinda anapoteza au vice versa. Kosa kidogo unaadhibiwa.
US/NATO vs RUSSIA mwisho wa siku lazima mmoja asande. Haina droo hii game
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Bado wadhihirisha ujinga wako, ulivamia mazungumzo ya mie na Mwanamkiwi kwa kukurupuka, sie tunajua tunachokijadili na twaendelea kujadili nae...siku nyingine ukiona watu wanajadiliana, soma kwanza na uelewe points wanazojadili, kisha ndio uchangie.Endelea ku kopi mkuu....google ipo.
Ila siku si nyingi tutarudia hii page.
Pia ukisoma mtu anamtaja mwinginge kuwa mjinga, kwenye majadilianao kama haya,..mtu huyo ni hovyo sanaaaaa.
Hahahaha hizi ndizo mnazoziweza Pro Putin,mkizidiwa mnaenda kufukua nyuzi za miaka ya nyuma mnazileta. Vipi na wewe una msambwanda nije pm tuyajenge?
R-36 Sarmat hizi ambazo zilitengenezwa Ukraine na alishagoma muda sana kuzipa spare parts ndio Russia anaringia. Si ajabu ziko kwenye silos uko na maintenance inasuasuakama ikitokea vita vya nuclear marekani itageuzwa majivu ndani dakika tano nusu kuna mnyama anaitwa sarmata hili ni kombora hatari
urusi wanayo tech ya kuzuia mashambuliz ya nyuklia marekani ya kwao ili feli hata thaad air defense system zilifeli kuyatungu makombora ya north korea pale japan
Hahahaha ushafika hapo bunyolo nije nijipatie msambwanda wako kwa buku jero?Muangalie kwanza mama yako kama anao.
Sijui watu wengi wanaoamini vita ya kinyuklia inaweza kuwa ndogo. Najua wanajadiliana namna yake, ila naona wengi wanakubali hatari ni kubwa mno haiwezi kubanwa mara imeanza.Mother of All Bombs (MOAB) the biggest non-nuclear bomb ever dropped in the world View attachment 2163155
ππππHahahaha ushafika hapo bunyolo nije nijipatie msambwanda wako kwa buku jero?
NATO/US wameanzisha hii vita, na hawataki iishe. Ingeshaisha.