President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Wanajitekenya na kucheka wenyewe ,kwenye meli ni risky sana meli ikipigwa na wimbi zito inazama yote
Hongera mjuzi wa Google..Bado wadhihirisha ujinga wako, ulivamia mazungumzo ya mie na Mwanamkiwi kwa kukurupuka, sie tunajua tunachokijadili na twaendelea kujadili nae...siku nyingine ukiona watu wanajadiliana, soma kwanza na uelewe points wanazojadili, kisha ndio uchangie.
Btw: Ujinga ni hali ya kutojua kitu fulani. Hukujua point ya msingi tuliyokuwa twajadili na huyo jamaa yangu.
Safiii sanaWakati jana Sweden imetangaza itaongeza anti tank missiles 5,000 leo UK imesema itaongeza 6,000. Mambo sio rahisi mitaani kwa armour za RussiaView attachment 2163158
Sawa wewe mwenye akili nieleze yapi yatakiwa matokeo chanya iwapo dollar ya USA haitatumika kama hela ya kati katika ugavi wa bidhaa na huduma baina ya mataifa.I'm waiting......Huna akili broo jaribu kutumiaga akili ata siku moja moja mzee duuh siamini kama umeandika pumba kama izi bob!!
Hivi history yake imekaaje? naomba nifahamu kutoka kuwa comedians mpaka president
Kama ni rahisi Google na wewe, au umeibiwa smartphone?!Hin
Hongera mjuzi wa Google..
The Chinese Foreign Ministry is right 100%.Tena sio huko tu,the bombing of Japan;the invasion of Vietnam,Libya,Syria;the invasion of Iraq;the invasion of Yemen in collaboration with Saudi Arabia;the distabililization of many countries worldwide including Afghanistan;the toppling of many governments in Africa and Latin America;the assassination of many Presidents in Africa and Latin America and many more.Yes,the American Government has no moral authority whatsoever to point a finger at Russia,Russia is morally more sound.🇨🇳🇺🇸Chinese Foreign Ministry spokeswoman Hua Chunying demanded that the United States apologize for the bombing of Yugoslavia
"The US and NATO are not in a position to judge the moral principles of any country until they apologize and compensate for the damage and suffering they have caused to the peoples of Yugoslavia, Iraq, Syria and Afghanistan," she said.
Nafikiri hujui nchi zinazounda NATO ila pole sio kosa lako. Kama kwenye idadi yako china, india na Pakistan ulizizumuisha pole sana, nenda kadese ili ujue NATO inaundwa na nini
,BBC:
Serikali ya mji wa Mauripol yasema Russia imedondosha mijibomu mikubwaa miwili huko Mariupol, Ukraine.
Zelensky atoa alalamika kuwa Russia imeusawazisha mji wa Mariupol na kuwa majivu matupu na vifusi, hakuna kitu kilichosalia kwenye mji huo.
Zelensky ampigia magoti Putin, amuomba basi aruhusu raia waliozingirwa kwa wiki 3 sasa kwenye mji wa Mariupol wachoropoke waondoke kwenye mji huo...
Mwambieni Zelensky zile pisi 250 za S-300 zilizokuwepo Ukraine kabla ya vita kazipeleka wapi hadi mji ugeuzwe vifusi na majivu matupu wakati kazi ya hizo S-300 ni kujikinga na mashambulizi ya makombora toka angani?
========
View attachment 2160851View attachment 2160850
Wanampiga danadana.Britain will look into Zelensky's request to send tanks and planes, but it will be logistically difficult to do so, Boris Johnson said.
Galip SV Liwagu View attachment 2163211
Uchamubuzi huna..ila wa kukopi unao. Hongera kwa hiloKama ni rahisi Google na wewe, au umeibiwa smartphone?!