Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lete hiyo meza fupi uliyonayo
 
Wataalamu wa kutambua na kutegua mabomu wa majeshi ya Russia wakikagua usalama wa barabara kabla ya kuamuru askari wengine na magari yao kupita...mabomu kadhaa yaliyotegeshwa kwenye barabara (yamechimbiwa) wameyategua na kuendelea na safari yao kwenda kugawa kipigo cha mbwa koko kwa Zelensky


 
Putin angekuwa hana Nyuklia huu uvamizi NATO wangeumaliza ndani ya wiki moja tu.
Tatizo ni kwama wana dili na mwendawazimu aliye tayari kuipeleka dunia yote kwenye Nyuklia Amargeddon.
Ila ww jamaa una upungufu wa kufikilia umekomalia sijui Urusi hana nguvu anaogopwa kwa sababu ya nuklia sasa hiyo sindo nguvu yenyewe?

Maana halisi ya kuwa na nguvu ni kuwa na kitu kitakacho kufanya watu wakuogope, ina maana hiyo hofu ya Urusi kuiangamiza dunia ndio nguvu yenyewe.

Kwann wasiwe na hofu na Tz ?kwa sababu haina kitu kitakacho ifanya iogopwe.

Hata Marekani anaogopwa kwasababu ya nguvu yake ya kiuchumi na hizo silaha nyukilia tofauti na hapo hana tofauti na Tz.

Mfano leo unaogopa kufanya uzinzi kwa kumuogopa Mungu kwa hiyo hile hofu uliyo nayo juu yake ndio inayo dhihilisha nguvu yake.

Leo inaogopa kuiba kwa sababu utaenda jela hile hofu uliyo nayo ndo inadhihirisha nguvu ya serikali.

Hata ikitokea Urusi akaferi nchini Ukraine haitaondoa nafasi yake kama taifa lenye nguvu za kijeshi duniani maana sio wa kwanza kuferi.

Kama kuferi vita ndio udhaifu basi Marekani ndio anatikiwa awe taifa dhaifu kuliko yote duniani maana kashindwa vita nyingi kuliko hata hiyo Urusi.

Marekani kapigana Vietnam zaidi ya miaka 8 hakufanikiwa kuteka hata kijiji bora ya Urusi ndani ya mwezi ameweza kuteka aslimia zaidi 30 ya ardhi ya Ukraine.

Huko japan kilicho mnusuru Marekani ni hizo silaha za Nuklia ambazo upo unazibeza tofauti na hapo tiyari alikuwa kasha shindwa vita.

Somalia taifa masikini kabisa alijipeleka kilicho mkuta bila shaka una kifahamu.

Sasa nyingine ukitaka kujadili jambo ni vyema ukaweka mihemko na chuki pembeni.

Siku zote vita sio rahisi kama wengi wanavyo fikiri hata kama unaye pambana naye ni dhahifu kuasi gani.
 
Wakati Russia anatumia hypersonic missiles, hypersonic za US bado zinafeli kwenye majaribio
 
Nimekuuliza swali kwanini NATO na USA wanaogopa!?
WANAOGOPA NINI SASA? UNADHANI WANAINGILIA VITA ILE WAO KAMA NANI? UKRAINE SIO MSHIRIKA WAO WANAINGIA VIPI VITANI? HUYO KICHAA WENU KAMA ANATAKA VITA KWA NINI ASITUPE BOMU PALE POLAND HATA KWA BAHATI MBAYA AONE ATAKACHOFANYWA???

SIZE YA URUSI NI UKRAINE PEKEE MWEZI SASA ANATAPA TAPA HADI ANAKODI WANAJESHI LEBANON
 
Nachokisubiri baada ya hii "move" ni kua "ambae hataki kulipa kwa ruble akatafte sehem nyingine gas ya kujiamulia yeye Currency ya malipo"...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kale kajamaa wanakazarau na ndivo tulivotengenezwa hivo ila katika viongozi Genius wa kileo ni Putin...

Huyu mzee binafsi nakirik nilikuwa simuelewi hata chembe, nazan ni kwasabab ya lugha sikuwah fatilia maongezi yake till december mwaka jana kuna clip ilikuwa na subtitle nikaisikiliza mpaka nikashangaa. Baada ya apo nimefatilia mazungumzo yako mengi mno.

Nikawa najiuliza mbona jamaa hayupo kabisa katika mtazamo ambao media zimemuwekea. He's very Smart. He's Genius. Na ana sense of humanity kuliko hawa mbuzi wa kimagharibi.

Huu mtanange nasubiri kipenga cha mwisho tu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wee boya sana mpumba**v unaandik kirussia
 
Mwanzo nilidhan Nato wamempuuza kiduku wa north Korea, ila kwa haya yanayoendelea nahisi jamaa ni waoga! Nchi 30 kweli mnashindwa kumuondoa putin mmoja?
 
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…