LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
1741230553972.png
 
During a televised address to his nation on March 5, French President Emmanuel Macron said he was open to extending France's nuclear umbrella to protect European allies

"I have decided to start strategic discussions on the defense of the entire continent with our nuclear weapons. The decision will depend on the heads and commanders-in-chief of European countries," Macron said.
 
Lakini situli kubaliana Ukraine peke yake ndo alikuwa anaitoa jasho Urusi na ni super power uchwara?
Ulitaka Ukraine asisasaidiwe wakati urusi ana askari wa north Korea wakipigana nae bega kwa bega??

Ukweli utabaki kwamba urusi ni super power wa mchongo tu.., pamoja na back ya Iran..,china., Belarus., north Korea,bado Ukraine amemudu kuliteka eneo la urusi na kulikalia kimabavu!
Ukraine apewe maua yake🥰🤩😍
 
Ni kweli ila cha kushangaza masuper power wa ukweli sasa hivi wapo wanatafuta kisingizio vya kuikimbia vita dhidi ya super power uchwara.
 
The Netherlands will provide Ukraine with 3.5 billion euros ($3.8 billion) in combined government support in 2026, Dutch Prime Minister Dick Schoof announced on March 5.

Schoof added that $700 million will be earmarked for Kyiv to invest in drone production.
 
France is providing military intelligence to Ukraine, French Defense Minister Sebastien Lecornu said after the U.S. halted intelligence sharing with Kyiv, the BFM TV channel reported on March 6.

"We have intelligence resources that we are providing to the Ukrainians," Lecornu said on air on France Inter.
 
Huyu jamaa mwanzo wa vita alijifanya mpenda amani sana,Kila siku anawasiliana na Putin kumsihi asiivamie Ukraine
Si ajabu Putin alikuwa akimweka mita 100 mbali naye kwenye ile meza ndeefu - kwa sababu ya unafiki wake.

Jamaa hana msimamo. Ana tamaa na ulafi, na pia mihemko mingi bila nguvu yoyote.

Ndiyo maana katimuliwa Afrika kwa kadhia kubwa.
 
According to The Guardian, European countries are planning to deploy 120 fighter jets in the territory of Ukraine within the framework of the United Air Forces coalition in case of signing a peace agreement to protect the skies of Kiev, central and western Ukraine from Russian air attacks.

According to the supporters of the initiative created within the framework of the European unified defense air shield on the territory of Ukraine, it will be an air defense zone managed by the European Union, which will act independently of NATO and will prevent the attacks of Russian cruise missiles and drones on the cities and critical infrastructure of Ukraine.
 
Huyu jamaa mwanzo wa vita alijifanya mpenda amani sana,Kila siku anawasiliana na Putin kumsihi asiivamie Ukraine
Uzuri amesema intelijensia ya ufaransa itaendelea kuisaidia kievu..,ndio mjue kabisa hii vita bado tunayo sana..,na urusi anazidi kupoteza huko pokrovsk, kumbuka bila kukamata pokrovsk Donetsk ataisikia tu ndotoni
 
Ulitaka Ukraine asisasaidiwe wakati urusi ana askari wa north Korea wakipigana nae bega kwa bega??

Ukweli utabaki kwamba urusi ni super power wa mchongo tu.., pamoja na back ya Iran..,china., Belarus., north Korea,bado Ukraine amemudu kuliteka eneo la urusi na kulikalia kimabavu!
Ukraine apewe maua yake🥰🤩😍
Naiwaza Afghanistan na kilichotokea Marekani na makoloni yake,
halafu naisoma komenti ya kirat, naishia kusema hiiiii in magufuli voice
 
Naiwaza Afghanistan na kilichotokea Marekani na makoloni yake,
halafu naisoma komenti ya kirat, naishia kusema hiiiii in magufuli voice
USA alikuwa mbali na nyumbani katika vita ya Afghanistan..ni aibu kubwa urusi anapigana na jirani aliyeko mlangoni mwake lakini bado anamtoa kamasi😁😁
 
Ajabu ni kuwa na nyinyi Leo mnaendeleza huo ujinga kwa kufurahishwa na trump😍🤩

Mnaweza kuona miaka 4 mingi lakini mambo yanaweza kwenda hivihivi mpaka muhula wa Trump ukaisha kisha akaja kiongozi mwingine pro-kyiv haswa,nani alitegemea Biden ataondoka Whitehouse na kuacha vita hii ikiendelea!?., nadhani hakuna binadam wa kawaida alitegemea hili!
Mimi nilikuwa naona kabisa Biden ataondoka atacha vita ikiendelea maana alikuwa Hana Mpango wowote wa kusuruhisha na kushinda hawezi
 
Back
Top Bottom