Speed hii ni kali sana, round ya 4 tu tayari Simba ana 100% ya upendeleo

Fountain imefungwa mechi ngapi baada ya kuwapata wachezaji wao wote?
Hao wachezaji waliowapata ni kina nani?
Wataje?Fountain Gate wana wachezaji gani wa kigeni ambao walicheza baada ya mechi na Simba.Unazungukazunguka tu.Jibu hoja.
 
Hao wachezaji waliowapata ni kina nani?
Wataje?Fountain Gate wana wachezaji gani wa kigeni ambao walicheza baada ya mechi na Simba.Unazungukazunguka tu.Jibu hoja.
Huyo inaonekana kuwa hajawahi kuangalia ile filamu yetu kongwe ya "Neria" ambapo "bwana kasande" alikuwa anatangatanga kujibu maswali ya kwa nini anataka kurithi mali za marehemu kaka yake.
 
Ubaya ubwela!
Hamjasema bado mpaka mseme!

Kila tundu lililopo kwenye mwili wa Amfibia mwaka huu lazima litowe milio.

Hapa bado ni milio inayotoka kwenye tundu la mdomo tu , ikifika zamu ya lile tundu linalotoa ushuzi nina hakika utopoloni hakutakalika.

Haya sema " UBAYA UBWELA"
 
Kitu ambacho mbumbumbu fc wengi hawafahamu, Yanga ikiwa katika Hali ya utulivu ki uongozi na ki uchumi Haijawahi kukosa Kikombe.

Kwasasa Yanga itaendelea kutwaa Mataji kwa muda mrefu Sana, ata ikija kutokea uko mbele Simba ika imarika Bado wataendelea kusubiri kwa kipindi kirefu Sana.

Kwasasa Nguvu kubwa inaelekwzwa kwenye mashindano ya CAF kwakua uko tunataka timu itambe kama inavyo tamba NBC.
Apa ndani hakuna changamoto za kutosha.
 
Mpanzu
 
Pambana na maisha yako achana na mambo ya Simba
Washinde kwa haki basi ili wasisemwe. Mechi 4 kapakatwa mara 4. Kama unaujua mpira vizuri na sio timu utajua kuwa magoli ya Simba ni papatupapatu, bahati na kubebwa, hakuna ufundi
 
Kwa mnyama kila goti litapigwa.

Mtalalamika sana bado ndio mzunguko wa 4.Hamjasema bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…