Speed hii ni kali sana, round ya 4 tu tayari Simba ana 100% ya upendeleo

Ndio maana nasema mashabiki wa yanga wana shida sana simba walifungwa 5 na yanga ila hakuna kiongozi wala shabiki aliyemlalamikia refa na juzi yanga walishinda goli moja ila pia wakalalamika wakawaita wachezaji wa simba wazee wakawachukua baleke chama okrah mkude ila nashukuru mungu kuwa shabiki wa simba kule kuanzia mashabiki mpaka viongozi hawajielewi kila siku wanashindwa kesi FIFA ingekuwa Tanzania wangeilaumu TFF yanga hata mara yao ya mwisho walikuwa wanabebwa sana mpaka lomalisa alipiga cross nje ya uwanja na ikawa Goal badilikeni watani mpira haupo hvyo.
 
Kuwa shabiki wa yanga kwakweli ni shida sana mara wamevunja mageti mara wamepigana kwenye supu aisee.
 
Nimepata habari za ndani kwamba TFF wamesitisha zoezi la kuleta VAR kwenye ligi ya Tanzania.Sababu kubwa waliyotoa ni kwamba ili kukwepa gharama kubwa za VAR wamewakabidhi kazi hiyo wapenzi na wanachama wa Yanga.TFF wamedai kwamba wapenzi wa mpira wasiwe na wasiwasi kwani kazi hiyo itafanywa kwa umahiri mkubwa na wapenzi na wanachama wa Yanga.
 
Angalia pages za social media za TFF na kwenye redio,wakati dirisha la usajili linakaribia kufungwa mwezi mmoja karibia kila week wanazikumbusha timu za ligi kuu kukamilisha usajili na wanazitaja ambazo bado. Tarehe za kufunga dirisha la usajili inajulikana timu zinazembea lawama kwa nani? Kwahiyo points za kusema simba imecheza na timu ambazo hazikumaliza usaijili ni hoja la kupuuzwa
 
MBONA SIMBA WALA AZAM HAWAKUWA NA SHIDA YA USAJILI KWANINI FOUNTAIN GATE NA TABORA UTD?
 
Reactions: BRN
K
Tuliwaambia mmesajili wazee hamsikiii ona sasa malalamiko yameanza mapemaa
Kwani Yanga imepoteza mechi? Kwani Yanga imeshuka kiwango? Wewe huoni timu ikifungwa goli moja na Yanga wanashangilia?

Yanga ina kikosi kipana kitakachoweza kuhimili kucheza mechi nyingi kwa kiwango kilekile.
 
K

Kwani Yanga imepoteza mechi? Kwani Yanga imeshuka kiwango? Wewe huoni timu ikifungwa goli moja na Yanga wanashangilia?

Yanga ina kikosi kipana kitakachoweza kuhimili kucheza mechi nyingi kwa kiwango kilekile.
Mbona kelele sasa? Tena mapemaa.Lile goli la Gengold umesahau
 
Kengold na Kmc wamewatoa kamasi......
Ukisikia Mpanzu katua msimbazi ndo mnazid kuchanganyikiwa.......
NBC PL 2023/2024 Yanga SC 7-2 Makolokolo SC, hutaki andamana.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Simba ni ya kuhurumiwa tu. Hakuna timu ya kuifunga Yanga. Bado sana. Kama huamini subiri Derby inayokuja ndio utaelewa kwa nini kuku hakojoi.
 
Simba ni ya kuhurumiwa tu. Hakuna timu ya kuifunga Yanga. Bado sana. Kama huamini subiri Derby inayokuja ndio utaelewa kwa nini kuku hakojoi.
Kuku hakojoi wewe Hujifungui mtoto
 
Sidhani kama kuna mwanayanga bado anaangalia mechi za simba kwa hayo madudu ya marefa, mechi zinaboa mno hakuna haki katika maamuzi ujinga mtupu, upendeleo umezidi, makolo shindeni mechi kihalali mnaharibu burudani ya soka na kushusha kiwango chenu kimataifa, ndo maana mko ligi ya mademu shirikisho.

Kitu kizuri Yanga tutachukua points 6 toka kwenu na kuwatuliza mzuka halafu stori za magazetini zitakuwa "simba mbio za sakafuni zimeishia ukingoni"
 
Hao wachezaji waliowapata ni kina nani?
Wataje?Fountain Gate wana wachezaji gani wa kigeni ambao walicheza baada ya mechi na Simba.Unazungukazunguka tu.Jibu hoja.
Kwanza jifunze kuandika, pia maswali yako hayana maana kwani taarifa zote zipo wazi.
 
Wewe ndio mwenye shida kubwa ya uelewa, mkipigwa tano hakukua na makosa yoyote ya kimaamuzi hivyo hoja ya kulalamika haikuwepo. Unasahau kuwa Simba ndio mlikua mkisema Yanga anashinda kwa bahasha, umesahau mara hii? zaidi ni kuwa, tungechambua malalamiko husika ili kuona usahihi wake kuliko kurudi kwenye historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…