Speed hii ni kali sana, round ya 4 tu tayari Simba ana 100% ya upendeleo

Mkono wa nyani unaweza rudia
Yanga inapaswa kuifunga simba nje ndani, mechi hizo mbili ndo zina key πŸ”‘ ya kombe, droo au kufungwa na makolo lazima tuteme bungo. Simba imenunua marefa kushinda mechi zote.

Wachezaji wa uto wafie uwanjani kwenye derby ili tuchukue kombe letu.
 
Malalamiko yameanza mapema sana, sio mda utasikia "karia hafai". Naona mmeshaanza hadi kuwalaumu azam.
 
Lile Goal la Kengold ingekuwa Simba ungesemaje?
 
VAR hazipo za kutosha
 
Mmesahau msimu juzi mlivyowaponza marefa wawili wakafungiwa. Uto tulieni asee.
 
Hao wachezaji waliowapata ni kina nani?
Wataje?Fountain Gate wana wachezaji gani wa kigeni ambao walicheza baada ya mechi na Simba.Unazungukazunguka tu.Jibu hoja.
Huwezi kujibu comment ambayo ina kiwango cha chini sana cha elimu, hili ni jukwaa la facts, watu wanapua uelewa, wanaharika na kuburudishana. Swali lako hili ni sawa na kusema gari likimgonga mtu ambae alikuwa na malaria kali anaenda hospitali hakuna kesi kwakuwa hata hivyo huenda angekufa tu kwa malaria hata kama asingegongwa. TFF ilipaswa kuahilisha mechi zote za Tabora na Fountain za mwanzo hadi wachezaji wao wawe sawa kwakuwa walikuwa wanalijua tatizo lao pamoja na ukubwa au udogo wake. TFF na Bodi ya ligi walikuwa well informed kuwa ni shida kidogo tu ilisalia kwa timu za Tabora na Fountain kumaliza matatizo yao ya uhamisho wa wachezaji, lakini harakaharaka simba ikapewa hawa mabwana wawili wagonjwa ili wajipigie na kupata pts. .
 
Simba na Yanga huwa wanabadilishana ubingwa kama Republican na Democrats kule marekani.Ukiona kuna mmoja kachukua mfululizo ujue kuna kupokezana ubingwa na hiyo ipi kisiasa zaidi. Unaweza kubisha na kutukana ila ukweli utabaki pale pale.
 
Ni malalamiko tu. Hapo hamjafungwa, mkifungwa sijui itakuwaje.
 
Malalamiko yameanza mapema sana, sio mda utasikia "karia hafai". Naona mmeshaanza hadi kuwalaumu azam.
Hawa jamaa sipati picha timu yao ikishuka kiwango ikaanza kubutuliwa kama funza wanavyobutuliwa na jogoo mchangani. Maana hapa ni homa tu ya Simba kufanya vizuri ila bado timu yao ni nzuri, sasa pata picha wakianza kubutuliwa.
 
ingia wewe kama unaona rahisi, safari hi ni mwendo wa kuwapiga tu ndugu yangu
 
Mgambo wanaruka na kukanyaganaπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜ƒ

Yaani Hawa watu hawawezi kujihimili kabisa.
Mji mzima ni kruuu kruuu kruuuu ni vilio vya vyura.....hhahahπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…