SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

Wale mlionunua mzigo yenu wiki mbili nyuma mmeshapokea mizigo yenu?
Mimi bado sijapokea japo tayari imesharuhusiwa kuja kibaha. Ni siku ya tatu sasa tangu niambiwe umeshatumwa kibaha na sijatumiwa sms wala kupigiwa simu na ajent wao wa picha ya ndege.
Je, na kwa walio mkoani bado hamjapokea mizigo yenu?
 
Nimepokea tare 30, niliagiza tar 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…