Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
I never said Ndugai was better than Tulia. That is your implication stemming from your own perspectives which is not bad at all, as we know everyone is entitled to his own opinion but not to his facts.Nimekujibu hivyo kukumbusha Ndugai alikuwa mbovu, Wewe ulikuwa una imply Ndugai alikuwa Spika bora, wala pointi yangu sio kumtetea Tulia
Nilisema Tulia alipatikana kutokana na watu kuchukia mjadala fulani. Hapa naongezea kusema, tatizo linakuja pale muanzisha huo mjadala(Ndugai) alikuwa spika pia na yeye aliwahi kuzuia mijadala (kwa maelezo yako) pia.
Nikasema udhaifu huo wa Ndugai haundoi udhaifu wa Tulia na haubadili ukweli Tulia alipatikana vipi kuwa spika.