Spika amzuia Mbunge wa Iringa kujadili hoja ya kufutiwa leseni mawakala wa mbolea

C
SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana na uhuni wanaofanya kwenye mbolea.

Kwanini Spika anazuia wabunge wasijadili matatizo ya wananchi ana manufaa gani na Serikali? amezuia hoja ya CAG watu wamenyamaza, leo anazuia hoja ya matatizo ya mbolea yasijadiliwe ili wakulima mazao yao yafe kwa kukosa mbolea na nchi kuingia kwenye njaa kubwa ili baadae wanufaike watu wachache kwa kuagiza chakula nje ya nchi kutuletea tanzania.

Watanzania wataendelea kuchezewa na Spika hadi lini?
CCm ni ilee ilee ooh ni ile ile.
 
kweli ss wananchi tumeamua kuwekeza kwenye kilimo serikali inatoa msaada wa mbolea kwa njia ya Ruzuku kwa gharama kubwa, ila Mtu tu anaanza kutuhujumu ss wakulima na kuhujumu jitihada za serikali za kutuinua ss wakulima...nasema wafutiwe tu!
Hujui lolote kuhusu Ruzuku kaaa kimya kabisa ngoja moto unakuja ndio utajua ruzuku ni geresha tu na kuwafutia leseni ni mbwembwe tu wameshindwa kulipa watu na makampuni mpka leo hiv kweli ww inakuingia akilini kweli watu 800 wafanye kosa moja kweli je hujiuliz shida iko wap
Je nilini BASHE NA GENGE LAKE WALIWATA MAWAKALA NA KUWAPA SEMINA ELEKEz kuhusu huo mfumo? Kisa yye na usomari wake anawafutia mpka waagizaji leseni kweli ? Inakuanigia akilini kweli au unaongea kisa hujui mfumo wa TFRA AGRO DEALER TOOLS UNAVYOFANYA KAZI? MKUU
 
Hahaaaaa Mimi ni mkulima inakuwaje nisijue kuhusu mbolea za ruzuku.. serikali imetoa mbolea Bora Ila nyie mawakala baadhi mmechakachua huko mpaka wengine tulisikia waweka michanga kabisa, acheni ujanja ujanja...narudia tena mfungiwe tu! Mmezidi utapeli.
 
SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana na uhuni wanaofanya kwenye mbolea.

Kwanini Spika anazuia wabunge wasijadili matatizo ya wananchi ana manufaa gani na Serikali? amezuia hoja ya CAG watu wamenyamaza, leo anazuia hoja ya matatizo ya mbolea yasijadiliwe ili wakulima mazao yao yafe kwa kukosa mbolea na nchi kuingia kwenye njaa kubwa ili baadae wanufaike watu wachache kwa kuagiza chakula nje ya nchi kutuletea tanzania.

Watanzania wataendelea kuchezewa na Spika hadi lini?
Hao ni wezi wanatakiwa Kukamatwa na kufungwa jela sio kufutiwa leseni na kuachwa..

Kwenye Kila mfuko mmja wa kilo 50 wa mbolea ya ruxuku wanafumua na kutoa kilo 2 ,so Kwa semi 3 anapata semi Moja na anawauzia Wananchi Kwa bei Ile Ile ya Ruzuku..
 
Hivi hakuna namna wabunge nao kwa umoja wamgomee Spika kwa kuzuia hoja zao, kwanini yeye awaamulie cha kusema, hasa ikiwa jambo lina manufaa kwa wananchi?
Tatizo ni jinsi ya kuungana na kusema hapana ndio mtihani
 
SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana na uhuni wanaofanya kwenye mbolea.

Kwanini Spika anazuia wabunge wasijadili matatizo ya wananchi ana manufaa gani na Serikali? amezuia hoja ya CAG watu wamenyamaza, leo anazuia hoja ya matatizo ya mbolea yasijadiliwe ili wakulima mazao yao yafe kwa kukosa mbolea na nchi kuingia kwenye njaa kubwa ili baadae wanufaike watu wachache kwa kuagiza chakula nje ya nchi kutuletea tanzania.

Watanzania wataendelea kuchezewa na Spika hadi lini?
You know English well, yes but you die for hunger!
 
Huyo mumewe kashahongwa Cheo cha Ukurugenzi EWURA,anadhani ataongea nini?Mara kadhaa namuona anachekacheka na Born town wa Msoga,unafikiri atafanya uamuzi gani!
Huyo ni Spika wa Mchongo watu wapitishe mambo yao!
Acha wivu wa kike
 
SPIKA wa Bunge, Daktari Tulia kila anapoongoza Bunge anapenda kuwazima wabunge wanaotaka hoja za dharura za matatizo ya wananchi zijadiliwe lakini anakataa mifano michache hii

1. Majuzi Mbunge Ole Sendeka aliomba Bunge liahirishe ratiba zake lijadili kwa dharura suala la ufisadi mkubwa uliotajwa ripoti ya CAG, Spika akakataa

2. Leo Mbunge Bahati wa Mbeya akaomba Bunge lisimame wajadili matukio ya wananchi kuvamiwa na kuuwawa na tembo maeneo mbalimbali nchini, Spika akakataa

3. Leo Mbunge wa Iringa Msambatavangu ameomba Bunge lijadili tatizo la mbolea kwa wakulima ambao mazao yao yanaanza kuharibika kwa kukosa mbolea na mgogoro wa mawakala kufutiwa leseni, Spika amekataa..

Sasa tunajiuiliza hoja za kujadili ushoga na usagaji ziliruhusiwa kujadiliwa bungeni lakini matatizo ya wananchi Spika anawazuia wabunge.​
Tulishakubaliana Kwamba TUNUNU MWAKISALYA ni spika mbofu za redio na BUNGE ni dhaifu
 
Spika wa mchongo. Yupo kuilinda serikali. Spika wa hovyo.
 
Back
Top Bottom