Spika amzuia Mbunge wa Iringa kujadili hoja ya kufutiwa leseni mawakala wa mbolea

Nimekujibu hivyo kukumbusha Ndugai alikuwa mbovu, Wewe ulikuwa una imply Ndugai alikuwa Spika bora, wala pointi yangu sio kumtetea Tulia
I never said Ndugai was better than Tulia. That is your implication stemming from your own perspectives which is not bad at all, as we know everyone is entitled to his own opinion but not to his facts.

Nilisema Tulia alipatikana kutokana na watu kuchukia mjadala fulani. Hapa naongezea kusema, tatizo linakuja pale muanzisha huo mjadala(Ndugai) alikuwa spika pia na yeye aliwahi kuzuia mijadala (kwa maelezo yako) pia.
Nikasema udhaifu huo wa Ndugai haundoi udhaifu wa Tulia na haubadili ukweli Tulia alipatikana vipi kuwa spika.
 
Kazi ipo!! Kwan wakuu hivi mnadhan yupo pale kuisimamia serikali au nan?
 
Spika aliyepatikana kwa Rushwa hawezi kuwa na uchungu na matatizo ya nchi pamoja na wananchi wake.
 
Tupe sababu ya Spika Job Ndugai kuachia nafasi ya spika wa bunge ili tuache hizi hadithi zetu za kufikirika.
Issue ya deni la Taifa ni kama sababu tu mzee... Unadhan kitendo cha kutamka waz Atake asitake tutaa.... muongezeaaaa!! Unadhan lilikua jambo la kukubalika?
 
Laba stampu yule yeye saa100 lao moja ,tangu samweli sitta sijaona spika mimi ni wenyeviti tu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli ss wananchi tumeamua kuwekeza kwenye kilimo serikali inatoa msaada wa mbolea kwa njia ya Ruzuku kwa gharama kubwa, ila Mtu tu anaanza kutuhujumu ss wakulima na kuhujumu jitihada za serikali za kutuinua ss wakulima...nasema wafutiwe tu!
 
Anatambua fika kilichompata Spika Ndugai, hivyo anatambua nguvu ya chama chake, na nguvu ya mhimili uliojichimbia. Kabla ya kupelekeshwa na mihemuko, na hatimaye kufanya uamuzi wowote ule wa kukurupuka, ni lazima kwanza apate ushauri kwa bosi wake.
Kawaida inatakiwa pasiwepo na mwingiliano
 
Spika analinda ugali ake tu basi,
 
USHOGA HAKUNA WAHUSIKA? KUPONGEZA RAIS HAKUNA WAHUSIKA? WEWE NI MPUMBAVU.
Ndio maana sijaongelea ushoga Kuna wahusika na tunaanzia majunbani

Sijampongeza rais kwasababu kazi yake itaongea

Kuhusu upumbavu naweza kupokea… kwasababu Sina hakika kabisa kwamba unajitambua na una upeo wa kujadili vitu based on principles and values
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…