Yaani wameshindwa hata kusimama tuu kuunga mkono hoja hiyo!Hakuna bunge zaidi ya kusanyiko la majangili tupu
Kuna mstari mdogo sana kati ya CCM na BokoharamHakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea.
Wananchi tuazimie kabisa kwa hawa wabunge kuwa tumewafukuza kazi na wasirudi majimboni. Tuwaambie; You are fired! Sisi sio kama Gen Z wa Kenya kuwapiga mawe,ila watambue wametukosea na hatuwataki tena.
Bangladesh!
Nasikia tena eti huwa wanalipwa mishahara minono na posho nzito kwa fedha zetu za walipa kadi. 😭😭Hivi kumbe Tanzania bado kuna bunge na wabunge wapo kabisa?
Yaani wameshindwa hata kusimama tuu kuunga mkono hoja hiyo!
Hawa ni manunda kabisa na wanakula fedha zetu bure kwa kisingizio cha kuwa wanatuwakilisha.
Hawa ingekuwa Kenya ni kuwaingilia hukohuko Bungeni na kutembezea viboko vya kutosha au kuwasubiri nje na kuwatupia mayai viza na nyanya mbovu
Bunge linatakiwa liwe la WANANCHI.Bunge au tawi la CCM
Hakuna bunge hapo zaidi ya kusanyiko la majangiliBunge linatakiwa liwe la WANANCHI.
Hatutawachagua kabisa. Na tutazilinda kura zetu.Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea.
Wananchi tuazimie kabisa kwa hawa wabunge kuwa tumewafukuza kazi na wasirudi majimboni. Tuwaambie; You are fired! Sisi sio kama Gen Z wa Kenya kuwapiga mawe,ila watambue wametukosea na hatuwataki tena.
Bangladesh!
Soma Pia:
- OLENGURUMWA: Ripoti ya Jeshi la Polisi inaonesha mwaka 2023 kulikuwepo na matukio ya utekaji wa Watoto takribani 73
- Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
- Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu
Haya ni majangili ya fedha za ummaYaani wameshindwa hata kusimama tuu kuunga mkono hoja hiyo!
Hawa ni manunda kabisa na wanakula fedha zetu bure kwa kisingizio cha kuwa wanatuwakilisha.
Hawa ingekuwa Kenya ni kuwaingilia hukohuko Bungeni na kutembezea viboko vya kutosha au kuwasubiri nje na kuwatupia mayai viza na nyanya mbovu
Hatari snYaani wameshindwa hata kusimama tuu kuunga mkono hoja hiyo!
Hawa ni manunda kabisa na wanakula fedha zetu bure kwa kisingizio cha kuwa wanatuwakilisha.
Hawa ingekuwa Kenya ni kuwaingilia hukohuko Bungeni na kutembezea viboko vya kutosha au kuwasubiri nje na kuwatupia mayai viza na nyanya mbovu
Ni nani katekwa ndugu yangu maana hata mimi sijui ndo nasikia sasa hiviHiki kikongwe kinahusika na utekaji kinajua kinachoendelea
UWT hamuwezi kuelewaNi nani katekwa ndugu yangu maana hata mimi sijui ndo nasikia sasa hivi
Nashangaa watanzania bado wanaona wana bungeHivi kumbe Tanzania bado kuna bunge na wabunge wapo kabisa?
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kendelea kutawala kadhalimuHakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea.
Wananchi tuazimie kabisa kwa hawa wabunge kuwa tumewafukuza kazi na wasirudi majimboni. Tuwaambie; You are fired! Sisi sio kama Gen Z wa Kenya kuwapiga mawe,ila watambue wametukosea na hatuwataki tena.
Bangladesh!
Soma Pia:
- OLENGURUMWA: Ripoti ya Jeshi la Polisi inaonesha mwaka 2023 kulikuwepo na matukio ya utekaji wa Watoto takribani 73
- Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
- Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu
Unayeelewa ndo nakuuliza nani katekwa? Au ndo ukisikia jambo unalibebelea na huna factsUWT hamuwezi kuelewa
Kwa kweli, bunge letu lina shida fulani. Rationalisation has never been a solution to anything. In my opinion, this is technically called 'dodging the problem'.Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea.