Pre GE2025 Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna bunge zaidi ya kusanyiko la majangili tupu
Yaani wameshindwa hata kusimama tuu kuunga mkono hoja hiyo!
Hawa ni manunda kabisa na wanakula fedha zetu bure kwa kisingizio cha kuwa wanatuwakilisha.
Hawa ingekuwa Kenya ni kuwaingilia hukohuko Bungeni na kutembezea viboko vya kutosha au kuwasubiri nje na kuwatupia mayai viza na nyanya mbovu
 
Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea.

Wananchi tuazimie kabisa kwa hawa wabunge kuwa tumewafukuza kazi na wasirudi majimboni. Tuwaambie; You are fired! Sisi sio kama Gen Z wa Kenya kuwapiga mawe,ila watambue wametukosea na hatuwataki tena.
Bangladesh!
Kuna mstari mdogo sana kati ya CCM na Bokoharam
 
Yaani wameshindwa hata kusimama tuu kuunga mkono hoja hiyo!
Hawa ni manunda kabisa na wanakula fedha zetu bure kwa kisingizio cha kuwa wanatuwakilisha.
Hawa ingekuwa Kenya ni kuwaingilia hukohuko Bungeni na kutembezea viboko vya kutosha au kuwasubiri nje na kuwatupia mayai viza na nyanya mbovu

Ina maana hara COVID nao 19 wamekosekana?
 
Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea.

Wananchi tuazimie kabisa kwa hawa wabunge kuwa tumewafukuza kazi na wasirudi majimboni. Tuwaambie; You are fired! Sisi sio kama Gen Z wa Kenya kuwapiga mawe,ila watambue wametukosea na hatuwataki tena.
Bangladesh!

Soma Pia:
Hatutawachagua kabisa. Na tutazilinda kura zetu.
 
Yaani wameshindwa hata kusimama tuu kuunga mkono hoja hiyo!
Hawa ni manunda kabisa na wanakula fedha zetu bure kwa kisingizio cha kuwa wanatuwakilisha.
Hawa ingekuwa Kenya ni kuwaingilia hukohuko Bungeni na kutembezea viboko vya kutosha au kuwasubiri nje na kuwatupia mayai viza na nyanya mbovu
Haya ni majangili ya fedha za umma
 
Yaani wameshindwa hata kusimama tuu kuunga mkono hoja hiyo!
Hawa ni manunda kabisa na wanakula fedha zetu bure kwa kisingizio cha kuwa wanatuwakilisha.
Hawa ingekuwa Kenya ni kuwaingilia hukohuko Bungeni na kutembezea viboko vya kutosha au kuwasubiri nje na kuwatupia mayai viza na nyanya mbovu
Hatari sn
 
Wabunge wa CCM waliopo pale Mjengoni wako kwa ajili ya maslahi ya CCM na sio kwa ajili ya maslahi ya Taifa letu Tanzania.
 
Hivi kumbe Tanzania bado kuna bunge na wabunge wapo kabisa?
Nashangaa watanzania bado wanaona wana bunge
Lile bunge limebakia kujadili mambo ya kina mondi,wakina shilole wakina buheti
Kuwakaribisha wakina baba level mwijaku mandonga

Ova
 
Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea.

Wananchi tuazimie kabisa kwa hawa wabunge kuwa tumewafukuza kazi na wasirudi majimboni. Tuwaambie; You are fired! Sisi sio kama Gen Z wa Kenya kuwapiga mawe,ila watambue wametukosea na hatuwataki tena.
Bangladesh!

Soma Pia:
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kendelea kutawala kadhalimu
 
Kuna Bunge kuna wahuni wanakula kodi kwa stamp ya kitu kinaitwa Bunge
 
Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea.

Wananchi tuazimie kabisa kwa hawa wabunge kuwa tumewafukuza kazi na wasirudi majimboni. Tuwaambie; You are fired! Sisi sio kama Gen Z wa Kenya kuwapiga mawe,ila watambue wametukosea na hatuwataki tena.
Bangladesh!

Soma Pia:
Kwa kweli, bunge letu lina shida fulani. Rationalisation has never been a solution to anything. In my opinion, this is technically called 'dodging the problem'.
 
Back
Top Bottom