Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
- Thread starter
- #21
Yaani wameshindwa hata kusimama tuu kuunga mkono hoja hiyo!Hakuna bunge zaidi ya kusanyiko la majangili tupu
Hawa ni manunda kabisa na wanakula fedha zetu bure kwa kisingizio cha kuwa wanatuwakilisha.
Hawa ingekuwa Kenya ni kuwaingilia hukohuko Bungeni na kutembezea viboko vya kutosha au kuwasubiri nje na kuwatupia mayai viza na nyanya mbovu