Pre GE2025 Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"

Pre GE2025 Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bunge ni lazima wakumbuke hawa wanaotekwa Zaidi ya kuwa ni Binadamu lakini ndio waliowapigia kura 2020

Kukataa Kujadili Ongezeko la Watu kutekwa na kupotea ni dhahiri Bunge halijui kwanini liliundwa

Jumaa Mubarak
Kuna bunge pale? Wajinga sana wale na kiongozi wao ni hovyo sana!
 
Hapo nyuma watu walikuwa wanaipenda sana CCM lakini muda unavyooenda na matukio haya ya kutekwa watu, maisha kuwa magumu na wafanyabiashara kila mara kukamuliwa na TRA imepelekea wananchi kukosa imani na CCM na 2025 kutakuwa na wabunge wengi sana wa upinzani.
 
Sina mengi, wazazi ambao mna watoto najua mumeelewa mchana mwema narudi ofisini kuwajadili, na kupitia mafaili yenu siku njema
 
Back
Top Bottom