Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hatuna Spika tuna shetani pekeeNimemdharau sana yule kiongozi , anahisi kutotetea haki za wanyonge ni sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna Spika tuna shetani pekeeNimemdharau sana yule kiongozi , anahisi kutotetea haki za wanyonge ni sawa
Kuna bunge pale? Wajinga sana wale na kiongozi wao ni hovyo sana!Bunge ni lazima wakumbuke hawa wanaotekwa Zaidi ya kuwa ni Binadamu lakini ndio waliowapigia kura 2020
Kukataa Kujadili Ongezeko la Watu kutekwa na kupotea ni dhahiri Bunge halijui kwanini liliundwa
Jumaa Mubarak
Ungejua Sifa za Shetani usingeropoka hovyoTukiwaambiwa Tulia ni shetani mtuelewe
Sindiyo Tulia huyoUngejua Sifa za Shetani usingeropoka hovyo
Shetani: Yesu Kristo Nitakupa Dunia yote endapo tu utanisujudia
Chadema ndio kitu gani?Unataka chadema waje kukusifia?
Kubwa jinga,na vihoja vyako vya undumilakuwili.Chadema ndio kitu gani?
Tutusa wahed 🐼
Kubwa jinga ni wewe unayejiita CCM kaja mchungaji Msigwa anakula per diem wewe unaliwa 🐼Kubwa jinga,na vihoja vyako vya undumilakuwili.
Unaandika kama litoto zezeta.bolizozo wewe.Kubwa jinga ni wewe unayejiita CCM kaja mchungaji Msigwa anakula per diem wewe unaliwa 🐼
Chakula ya Wanaume wanajiitaga Majina ya Vyama!
Ina maana mayai yake aliyalia kihepe?Sina mengi, wazazi ambao mna watoto najua mumeelewa mchana mwema narudi ofisini kuwajadili, na kupitia mafaili yenu siku njema
Niliwasikiaaaa wanyaki.........wakimsema eti ati ku papa....Sina mengi, wazazi ambao mna watoto najua mumeelewa mchana mwema narudi ofisini kuwajadili, na kupitia mafaili yenu siku njema
Ni kweli Hana mtoto? Duh kazi kwelikweliWanawake wengi ambao hawana uzazi wanakuwa na roho mbaya sana.
Ana watoto wawili ila hapendi show off sababu sio limbukeniNi kweli Hana mtoto? Duh kazi kwelikweli
Huyu ambaye anasemekana ndiye alimvua ubingwa bashite?Tuta mkumbuka Sana mzee wetu samwel sitaki (rip)
Umempatia kweli kweli huyo pimbi anajiona yeye ni CCM zaidi hata ya CCM yenyewe.Kubwa jinga ni wewe unayejiita CCM kaja mchungaji Msigwa anakula per diem wewe unaliwa 🐼
Chakula ya Wanaume wanajiitaga Majina ya Vyama!