Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Spika Dr. Tulia amesema anaowawakilisha yaani wananchi wote wa Mbeya Mjini wanaunga mkono Uwekezaji wa Bandari.
Dr. Tulia amesema Mkoa wa Mbeya ni wakulima hivyo Uwekezaji wa Bandari utasaidia Mazao yao kufika kwenye Masoko kwa haraka.
Source: Eatv
TAGHuyu Dada anasali kweli?
Mwabukusi anatokea Rungwe!πππππ....ila kesi ya kupinga iko Mbeya mjini pia. Kweli mnajitoa ufahamu
Jana nilikua mahakamani, Huyu Dada ni mgonjwa nadhaniHivi bandari ni Nini? Maana watu tupo mbeya tunadangdang tu na migomba yetu
Huyu Dada anasali kweli????Sio mbeya tu, hataukukwetu tunahitaji kuwa na bandari yenye ufanisi kuliko ilivyo Sasa.
Spika awemkweli uongo hausaidiikitu, watu wasicho taka ni aina ya mkataba wenyewe nasio uwekezaji.
Hatuutaki mkataba wa ainaile, full stop.
Tulia hajatuliaKwa kauli ya spika hakuna hukumu itakayotolewa kuiangusha serikali juu ya kesi ya kupinga mkataba wa Bandari. Halafu hiki kibibi ambacho akina mtoto wa kuzaa hakina uchungu na mali zetu maana hakina uzao. Watu hawapingi uwekezaji kinachopingwa na vipengele vya mkataba.
Tulia ni mwongo. Yeye mwenyewe hakubaliki Mbeya mjini na yuko hapo kwa kuwekwa na Mwendazake Magufuli tu.Dk. Tulia ni Mbunge wa Jiji la Mbeya, hivyo anawasemea Wana Jiji la Mbeya waliomchagua. Wewe unayebisha una mamlaka gani uliyokasimiwa kihalali na Wana Jiji la Mbeya?
Una uhakika gani kuwa Waarabu wataendesha bandari kwa ufanisi?Sio mbeya tu, hataukukwetu tunahitaji kuwa na bandari yenye ufanisi kuliko ilivyo Sasa.
Spika awemkweli uongo hausaidiikitu, watu wasicho taka ni aina ya mkataba wenyewe nasio uwekezaji.
Hatuutaki mkataba wa ainaile, full stop.
THibitisha uongo wake.Kwamba Kwa vile yeye ni mbunge basi ana haki ya kudanganya ?
Hiyo ndo akili.Hivi bandari ni Nini? Maana watu tupo mbeya tunadangdang tu na migomba yetu
Bahati mbaya sijibu hoja za wehu!Tulia ni mwongo. Yeye mwenyewe hakubaliki Mbeya mjini na yuko hapo kwa kuwekwa na Mwendazake Magufuli tu.
Mbeya haiwezi ikaunga mkono mkataba wa bandari ambao una vipengere vya kinyonyaji dhidi ya raslimali zetu
Hamtaki nyie kina nani!?Sio mbeya tu, hataukukwetu tunahitaji kuwa na bandari yenye ufanisi kuliko ilivyo Sasa.
Spika awemkweli uongo hausaidiikitu, watu wasicho taka ni aina ya mkataba wenyewe nasio uwekezaji.
Hatuutaki mkataba wa ainaile, full stop.
Fafanua/eleza vizuri mkuu.Jana nilikua mahakamani, Huyu Dada ni mgonjwa nadhani
Hakuna Mwanaccm yeyote mcha MunguHuyu Dada anasali kweli???????????
Hakika mkuu,hata ivo wanapigania matumbo YaoHiyo ndo akili.
We komaa na migomba yako utapata maisha ya familia yako. Achana na bandari itakuumiza kichwa bure, bandari wanaijua watu wa Pwani ndo wenye nayo
π€π₯΄π€£π€£Jana nilikua mahakamani, Huyu Dada ni mgonjwa nadhani
makuwadi ya warabu wa dpworld 2025 tunayakomesha.Sio mbeya tu, hataukukwetu tunahitaji kuwa na bandari yenye ufanisi kuliko ilivyo Sasa.
Spika awemkweli uongo hausaidiikitu, watu wasicho taka ni aina ya mkataba wenyewe nasio uwekezaji.
Hatuutaki mkataba wa ainaile, full stop.
Mwabukusi anatokea Rungwe!