Spika Dkt. Tulia: Rais mimi ndio Mbunge wa Mbeya Mjini, Wananchi wameniambia Wanakuunga mkono Uwekezaji wa Bandari!

Spika Dkt. Tulia: Rais mimi ndio Mbunge wa Mbeya Mjini, Wananchi wameniambia Wanakuunga mkono Uwekezaji wa Bandari!

Kalewa madaraka hamna kingine
View attachment 2711947

Hili ni dhahiri kwamba Tulia Ackson ameamua kumdanganya Mh Rais kwa lengo la kumpotosha ili ajipatie umaarufu.

Kabla ya kuendelea hebu tuangalie maana halisi ya Uongo kama ilivyoelezwa kwenye kamusi ya kiswahili

View attachment 2711944

Sasa kauli hii ambayo ametoa Tulia Ackson bila uoga mbele ya kiongozi wa Nchi maana yake nini ? kamshirikisha Mwana Mbeya yupi ikiwa sisi watu wa Mbeya hatutaki Mkataba huo ?

Hivi kwanini hawa viongozi wanatudharau kiasi hiki , Tufanyeje ili tuheshimike ?
 
Waendelee kudanganyana
Ukweli tunaujua Mungu anajua
Bandari za Tanganyika ni za WaTanganyika
 
Hii ndiyo tabia ya viongozi wa Africa, Tanzania in particular. Wao kusema kweli huwa ni haramu ndiyo maan maendeleo watayaskiliza kwa majiran tu
 
Tulia ni mwongo. Yeye mwenyewe hakubaliki Mbeya mjini na yuko hapo kwa kuwekwa na Mwendazake Magufuli tu.

Mbeya haiwezi ikaunga mkono mkataba wa bandari ambao una vipengere vya kinyonyaji dhidi ya raslimali zetu
bandari ya wazaramo wa pwani nyie watu wa mbeya inawahusu nini?
 
Sasa kama Rais anadangsnywa hivi hadharani imagine huko chumbani kwenye vikao vya ndani inakuwaje.?
 
Spika Dr. Tulia amesema anaowawakilisha yaani wananchi wote wa Mbeya Mjini wanaunga mkono Uwekezaji wa Bandar...
Unaona mbali,nashindwa kuwaelewa ambao huwa wanaamini CCM kuanguka kwa kupitia kura za box, Ni ukweli kwamba wananchi kwa asilimia kubwa washaichoka CCM Lakini kutokana na historia ya mfumo wa nchi yetu hakuna Rais atakayekuwa madarakani akakubali CCM idondoke na akiwa upande wa pili ni M/kiti wa CCM kisiasa na vyombo vyote vipo tayari kutii agizo la mwenye nchi yaani Rais, Tanzania wananchi hawachagui Rais wa nchi hili swala watu ni Kama hawalijui ndo Mana zitto aliamua kuchagua kuwa CCM aliyejificha upinzani.
 
Back
Top Bottom