The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
View attachment 2711947
Hili ni dhahiri kwamba Tulia Ackson ameamua kumdanganya Mh Rais kwa lengo la kumpotosha ili ajipatie umaarufu.
Kabla ya kuendelea hebu tuangalie maana halisi ya Uongo kama ilivyoelezwa kwenye kamusi ya kiswahili
View attachment 2711944
Sasa kauli hii ambayo ametoa Tulia Ackson bila uoga mbele ya kiongozi wa Nchi maana yake nini ? kamshirikisha Mwana Mbeya yupi ikiwa sisi watu wa Mbeya hatutaki Mkataba huo ?
Hivi kwanini hawa viongozi wanatudharau kiasi hiki , Tufanyeje ili tuheshimike ?
Waendelee kudanganyanaView attachment 2711947

Hii ya kuwekea framePale mhimili mwingine unakuwa chawa kwa mhimili mwingine!
Huyu ni Rais wa MbeyaSisi tunajua mbunge wa mbeya mjini ni sugu
bandari ya wazaramo wa pwani nyie watu wa mbeya inawahusu nini?Tulia ni mwongo. Yeye mwenyewe hakubaliki Mbeya mjini na yuko hapo kwa kuwekwa na Mwendazake Magufuli tu.
Mbeya haiwezi ikaunga mkono mkataba wa bandari ambao una vipengere vya kinyonyaji dhidi ya raslimali zetu
Tanzania moja, acha upimbi wako wa kutugawa kimikoabandari ya wazaramo wa pwani nyie watu wa mbeya inawahusu nini?
Upo sahihi, ila watu hawakatai bandari Bali mkataba mbovu.Please kaa kimya mana hujui Hata unachokiongea.
Tanzania imeshakaa kimya ,Badala Kazi iendelee ,unaanza kukurupua mambo tena...
Kusema wananchi wote wa Mbeya mjini wanaunga mkono bandari.THibitisha uhongo wake.
Hiki kibibi kinanichefua sanaKusema wananchi wote wa Mbeya mjini wanaunga mkono bandari.
Unaona mbali,nashindwa kuwaelewa ambao huwa wanaamini CCM kuanguka kwa kupitia kura za box, Ni ukweli kwamba wananchi kwa asilimia kubwa washaichoka CCM Lakini kutokana na historia ya mfumo wa nchi yetu hakuna Rais atakayekuwa madarakani akakubali CCM idondoke na akiwa upande wa pili ni M/kiti wa CCM kisiasa na vyombo vyote vipo tayari kutii agizo la mwenye nchi yaani Rais, Tanzania wananchi hawachagui Rais wa nchi hili swala watu ni Kama hawalijui ndo Mana zitto aliamua kuchagua kuwa CCM aliyejificha upinzani.
Spika Dr. Tulia amesema anaowawakilisha yaani wananchi wote wa Mbeya Mjini wanaunga mkono Uwekezaji wa Bandar...
Kwahiyo wewe unaijua sheria kumzidi Dr. Tulia ackson?View attachment 2711947
Hili ni dhahiri kwamba Tulia Ackson ameamua kumdanganya Mh Rais kwa lengo la kumpotosha ili ajipatie umaarufu...
Kwani yeye anakupenda? Kwanza hata hakujui ila wewe unamjuaHuyu dada simpendi kinoma
Kuchomekea tu hilo linaonesha MoU ni jipu.View attachment 2711947
Hili ni dhahiri kwamba Tulia Ackson ameamua kumdanganya Mh Rais kwa lengo la kumpotosha ili ajipatie umaarufu...
Ndio anasali makanisa ya kilokoleHuyu Dada anasali kweli???????????
Ni aibu sana mtu wa aina hii kusali na walokoleNdio anasali makanisa ya kilokole