[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina zake,
Na safari hii atarudi kibangu kunywa gongo
Na BADO atavuna maji ya mvua kwa mikono yake.Karma is the bitch. Dhambi ya kumnyanyasa Lisu haitamuacha. Hata akijiuzulu bado mabalaa yatamwandama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muoga huyu mzee [emoji23]
Ndo maana nusrat henje jana kaanza kumsingiziaMoto lazma uwawakie😅
... supremacy of the presidency! Tukiambiwa Katiba iliyopo inampa Rais mamlaka ya ki-mungu huwa tunachukulia mizaha au kujitoa ufahamu kichama!Kosa la ndugai liko wapi kwa mjibu wa sheria? Je, ndugai kavunja katiba katika kutoa maoni yake...!
Kosa la ndugai, linapaswa liwe la kichama na si kama anavyosakamwa aachie ngazi!
Kwa katiba ipi na sheria ipi inayodai sipika akitoa maoni yake kuhusu jambo la kiserikali atawajibika/wajibishwa?
Chama ndicho chaweza kumwajibisha ikiwa ziko taratibu za aina hiyo ila si kwa kumvua madaraka ya usipika!
Ngoja litokee hili, Tutajiona mapanzi mbele ya dunia kwa jinsi itavyoonyesha katiba yetu isivyiheshimiwa na kujitoshereza!
Sasa nimeelewa kwamba, Tz katiba yetu ni mbovu kuliko chochote!
Kwa nchi zenye watu wenye kupima ukweli wa jambo kupitia katiba walizonazo, Kusingeeleweka ikiwa sipika anashinikizwa kuachia ngazi kwa jambo ambalo halipo kikatiba
Mh Sipika ni mkuu wa mhimili unaojitegemea, lkn pia ni RAIA wa Tz mwenye Uhuru wa kutoa maoni yake katika jambo lolote lile huku akizingatia sheria za nchi
Niko na Ndugai na hana kosa kisheria na kikatiba
Ninadumisha mila. 😂Sina mbavu hilo jina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiki ndo kipimo cha spika ajaye.Atatoa maamuzi gani?Wale covid19 wanaelekea wap
Moto lazma uwawakie😅
Na ole wao tuchukue nchi na hii hii katiba wanayokata kyibadilisha... supremacy of the presidency! Tukiambiwa Katiba iliyopo inampa Rais mamlaka ya ki-mungu huwa tunachukulia mizaha au kujitoa ufahamu kichama!
Karma!!hii kitu ni mbaya sana, yaani hakuna aliyekuwa anaweza kuwaza kuwa kuna siku hiki kidubwana kitaweza kuanguka kirahisi hivi!!!Dah.....siasa ni nyoko.
Yaani alivyomtesa Assad na Steve Masele yaani ilitosha nimchukie mno. Hivyo vichwa viwili ni super mno tena alivionea wivu yeye na Yule Mungu wake anayeendelea kuozea ardhini. Mungu si Athumani Yakhe.Wewe ni kenge Kweli spika aliharibu bunge letu kuruhusu mijadala ya majungu, pumbavu Kweli wewe uliona alivyomdhalilisha professor Assad ache ateswe kulia kupokezana, kumbuka alivvyomsliba tundu lisu leo acha ateswe tu kquma y a mm y a k e
Nimethibitisha kuleKwamba pengine Jobo kagoma wazee wakaamua kuandika na kutuma twitter?