Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bado katelefoni. Nae ana mhujumu sana Mh. Rais kwa siri. Aondoke na genge lake. Hatuwezi kuishi maisha ya shida kisa ni kundi dogo lina tafuta njia za kutuchonganisha na Mh. Rais. Maisha yame panda maksudi ili tumchukie Mama. Wao wakiji tengenezea njia ya 2025. Mungu ata wapatiliza wote mchana wa saa sita.
Tuna subiri walio mpa Mbowe kesi ya mchongo. Polisi, mahakama, nk.
 
Akasema mwaka huu, lazm watakunywa maji kwenye viatu
 
Kosa la ndugai liko wapi kwa mjibu wa sheria? Je, ndugai kavunja katiba katika kutoa maoni yake...!

Kosa la ndugai, linapaswa liwe la kichama na si kama anavyosakamwa aachie ngazi!

Kwa katiba ipi na sheria ipi inayodai sipika akitoa maoni yake kuhusu jambo la kiserikali atawajibika/wajibishwa?

Chama ndicho chaweza kumwajibisha ikiwa ziko taratibu za aina hiyo ila si kwa kumvua madaraka ya usipika!

Ngoja litokee hili, Tutajiona mapanzi mbele ya dunia kwa jinsi itavyoonyesha katiba yetu isivyiheshimiwa na kujitoshereza!

Sasa nimeelewa kwamba, Tz katiba yetu ni mbovu kuliko chochote!

Kwa nchi zenye watu wenye kupima ukweli wa jambo kupitia katiba walizonazo, Kusingeeleweka ikiwa sipika anashinikizwa kuachia ngazi kwa jambo ambalo halipo kikatiba

Mh Sipika ni mkuu wa mhimili unaojitegemea, lkn pia ni RAIA wa Tz mwenye Uhuru wa kutoa maoni yake katika jambo lolote lile huku akizingatia sheria za nchi

Niko na Ndugai na hana kosa kisheria na kikatiba
... supremacy of the presidency! Tukiambiwa Katiba iliyopo inampa Rais mamlaka ya ki-mungu huwa tunachukulia mizaha au kujitoa ufahamu kichama!
 
uzi utaenda mbali kwa sekunde chache...Jinsi gani nyongo za wabongo zilivyochafuka na upepo wa matukio
 
Moto lazma uwawakie😅
Screenshot_20220106_173309_com.android.gallery3d_edit_40288593337081.jpg
 
Wewe ni kenge Kweli spika aliharibu bunge letu kuruhusu mijadala ya majungu, pumbavu Kweli wewe uliona alivyomdhalilisha professor Assad ache ateswe kulia kupokezana, kumbuka alivvyomsliba tundu lisu leo acha ateswe tu kquma y a mm y a k e
Yaani alivyomtesa Assad na Steve Masele yaani ilitosha nimchukie mno. Hivyo vichwa viwili ni super mno tena alivionea wivu yeye na Yule Mungu wake anayeendelea kuozea ardhini. Mungu si Athumani Yakhe.
 
Back
Top Bottom