Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hongera kwa kutushukuru Watanzania kwa ushirikiano tulokupa, umesahau kitu kimoja ni KUTUOMBA MSAMAHA KWA ULIYOTUKOSEA kwa kutumia madaraka yako. Huo ndio uungwana, ni hayo tu Mheshimiwa.
 
... uko sahihi sana Mkuu; Rais kwa vyovyote ni lazima awe the highest authority. Tatizo linakuja pale mamlaka hayo yanapopindukia ni hatari sana!
Hayapinduki yana mipaka yake. Ndugai alikosea kusema nchi itauzwa wakati akijua fika kuna MKUU WA HIYO NCHI.
 
... hii ndio maana halisi ya urais wa kifalme! Tena bora hata nchi nyingi za kifalme nowadays madaraka ya monarchy yako regulated kikatiba tofauti na miaka ya kale huko na hiyo ni baada ya ku-learn in the hard way!
 
Habar jf
Kwa mujibu wa Katiba yetu kazi kubwa ya bunge ni kuisimamia serikali, iweje leo spika kujipendekeza kwa serikali??

Swala la Dugai kujiuzulu kisa kamkosea mkuu wa serikali ni udhaifu mkubwa wa Bunge
 
Maisha ni kutesa kwa zamu kaka..tuliyaaaaaa....na hakuna jambo lisilokuwa na mwisho
 
Foreign agents in Our Country, it’s a Coup!
 
Pasco kaungane na Nduugai muanzishe chama chenu,

Hila unajiharibia,huenda ungepata teuzi awamu hii, ndio basi ishakula kwako,maana ushaonyesha kumbe upo kundi la hao Wahaini wanaomdharau Rais
 
It's not breaking. Kwanza kachelewa.
 
Aisee!,
Nahisi kutakuwa na mpishano. Ndugai Out, kisha Lissu ataingia Bungeni kama Mbunge wa kuteuliwa na Rais
 
Spika kamuandikia barua katibu wa bunge ambaye ni bosi wake na hata wakati wa kumuapisha katibu alimwapisha so Job kafata protocali
NO BIG NO
Boss ni Mwenyekiti na Katibu wa chama chake cha CCM waliompendekeza aende Bungeni
Barua kamuandikia Katibu Mkuu wa Chama na Nakala kampa Katibu wa Bunge
 
Jamaa ana kazi kweli maana bado kesi ya kumsingizia Yesu kuwa ana mke[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hii kesi iko mahakama gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…