Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Jamaa ana kazi kweli maana bado kesi ya kumsingizia Yesu kuwa ana mke😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe ungefanyaje ndugu ukizingatia ile pressure kubwa kutoka kila sehemu na wew uko peke yako.