''Utu wa mtu ni utu inapojaribu kuporwa hutumia hekima nyingi kuitetea.''
Hongera mzee wangu kwakukiri kosa ulilosaliti moyo wako,Hofu yakupoteza nafasi yako ilikusukuma kuuomba msamaha ukajua unaitetea kumbe ndio unaipoteza pole sana, Kama dhamira yako ilikuwa kulililitetea Taifa hili kuomba radhi ulitusaliti Watanzania wote tunaoamini ulikuwa sahihi.
Kama ulizungumza kwa maslahi yako binafsi kujiuzulu ni haki yako lakii pia unalolakujibu Kwa Mwenyenguvu(GOD), Mzee Wangu kuomba kwako msamaha umetualalishia mama yuko sahihi,kama mama yupo sahihi mzee wangu barikiwa sana lakini kama hayupo sahihi kujiuzulu Unastahili ,Mzee Magufuli alikuwa Radhi kubaki mwenyewe kwenye ukweli na wote Tulimuamini ndio maana Tunamuamini aliposema tusiwe na hofu na ugonjwa ule na kweli Taifa halina Hofu na Tumepona.
Hongera kwakutii mamlaka kuendelea kuwa kiongozi huku kiongozi wako wa juu hakuamini Kazi yako ingekuwa ngumu zaidi kutimiza wajibu wako, Umeamua kukaa pembeni ukiamini Ulikuwa unalipotosha Taifa hongera kwakumpisha mama Afanye kazi Na pole Kwakusaliti Dhamira yako..
Maisha marefu Job Ndugai,Pumzika kwa Amani MWAMBA :John joseph Magufuli.