Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Yaani vile walijitungia Sheria ya kinga na kujilinda, kaona aondoke kabla muswada wa kutengua hayo yote hajaupitisha akiwa yeye mwenyewe ni subwoofer!Ukisikia benefits atazopata unaweza kuzimia!
Wewe pia jamaa yako mgogo mwenzio!Poleni sana, yaani huyu jamaa yenu alivyokuwa anajimwambafy mjengoni sikudhani kama angeweza kuwa mdogo kiasi kile kwenye kuomba msamaha
Nimekosa mimi, nisamehe mimiWewe pia jamaa yako mgogo mwenzio!
Bado tu hawezi kujiuzulu? Au ndo akili za kisukuma gang!?Hawezi jiuzulu. Huu upepo utapita na ataendelea kuwa speaker hadi 2025.
Ha ha haaaaaaaKwa hiyo wewe unamzidi Ndugai uelewa?
Aaahhhh sana tu yaaniKwa hiyo wewe unamzidi Ndugai uelewa?
Kafanya makusudi tuNa inaonekana kafanya makusudi
Kashamjulisha. Ndugai si speaker tenaYuko sawa, katibu mkuu wa ccm atamjulisha katibu wa bunge kuwa nafasi iko wazi
Ndugai hajaandika barua ya kujiuzulu uspika kwenda kwenye Ofisi ya Bunge, bali kaandika kwenda kwenye chama CCM. Bunge haliwezi kufanyia nakala ya barua hio kazi maana halina mamlaka hayo kikatiba.
Kwa msingi huo, bado ni spika kikatiba.
Ndugai aandike barua nyingine kwenda Ofisi ya Bunge ndio atakuwa amejiuzulu.