Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

@Ngusero
 
Gwajima mzoea vya kunyonga vya kuchija hiviwezi- kumuomba Ndugai ajiuzulu ni kuweka mambo mbali na mikono yako; usiogope damu yake; jitose kwa kuanzisha mchakato wa kumuondoa spika. Haya ya PRESS CONFERENCE ni kelele zisizo na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…