ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Eenh! Microphone check [emoji441]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba pengine Jobo kagoma wazee wakaamua kuandika na kutuma twitter?Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Hiyo barua ya kujiuzulu ikowapi?.
please do the needful.
P
Sidhani kama hiyo subwoofer itafika 2025 bila kupasuka, hata sasaiv unawezakuta yuko hoi kitandani.On his way to CHADEMA.
Ndugai for presidency 2025 watu weweeeeeee
Leo ndio nimejua kwamba barua ya kujiuzulu ya Spika wa Bunge la JMT, inaelekezwa kwa katibu mkuu wa chama chake kwanza, kisha nakala kwa katibu wa bunge
Moto lazma uwawakie😅Sasa balaa ni kwa wale wabunge wa Covid nani atawatetea nafasi zao.
Mnamuonea mgogo wa watu.. ila jamaa anatia huruma 😂😂😂😂Oyaaa Ndugai ametema ngisi? 😳😳
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]On his way to CHADEMA.
Ndugai for presidency 2025 watu weweeeeeee
Huwezi kumvunjia heshima rais hadharani . Hata ningekua mimi ningemshughulikia kikamilifu ndugai.Kama hana ujumbe wowote nini kimefanya hangaya apanic namna ile?
Punguza jabza bana Ndugai.Sasa kama ulimpanulia kwanini asikugonge?
Watanzania tuwaze nje yabox anayo msururu was yanayomzonga na tusishadadie Moja pekee, iwapo amekubali kuwajibika Kwa hiari ni jambo jema na funzo Kwa wenye manlaka.Kosa la ndugai liko wapi kwa mjibu wa sheria? Je, ndugai kavunja katiba katika kutoa maoni yake...!
Kosa la ndugai, linapaswa liwe la kichama na si kama anavyosakamwa aachie ngazi!
Kwa katiba ipi na sheria ipi inayodai sipika akitoa maoni yake kuhusu jambo la kiserikali atawajibika/wajibishwa?
Chama ndicho chaweza kumwajibisha ikiwa ziko taratibu za aina hiyo ila si kwa kumvua madaraka ya usipika!
Ngoja litokee hili, Tutajiona mapanzi mbele ya dunia kwa jinsi itavyoonyesha katiba yetu isivyiheshimiwa na kujitoshereza!
Sasa nimeelewa kwamba, Tz katiba yetu ni mbovu kuliko chochote!
Kwa nchi zenye watu wenye kupima ukweli wa jambo kupitia katiba walizonazo, Kusingeeleweka ikiwa sipika anashinikizwa kuachia ngazi kwa jambo ambalo halipo kikatiba
Mh Sipika ni mkuu wa mhimili unaojitegemea, lkn pia ni RAIA wa Tz mwenye Uhuru wa kutoa maoni yake katika jambo lolote lile huku akizingatia sheria za nchi
Niko na Ndugai na hana kosa kisheria na kikatiba
Hatakosa Uwaziri huyu. Hongera MheshimiwaSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itauzwa kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni binafsi na hiari, na ameuchukua kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi, Serikali na Chama
#JamiiForums
Mbunge wa Kongwa (CCM), Job Ndugai tarehe 10 Novemba 2020, alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 baada ya kupata kura 344 kati ya kura 345 zilizopigwa sawa na asilimia 99.7. Kura moja ilimkataa. Ndugai alikuwa spika katika Bunge la 11 la 2015 - 2020.
Hapo awali akizungumza Desemba 28 katika mkutano mkuu wa pili wa wanakikundi cha Mikalile Ye Wanyusi uliofanyika jijini Dodoma, Ndugai alitetea uamuzi wa Bunge kuanzisha tozo za miamala ya simu, kuliko kuendelea kukopa kwani ipo Siku Nchi itapigwa Mnada
“Juzi mama ameenda kukopa 1.3 trilioni. hivi ipi bora. Sisi Watanzania wa miaka 60 ya uhuru kuzidi kukopa na madeni au tubanane banane hapa hapa, tujenge wenyewe bila madeni haya makubwa makubwa haya yasiyoeleweka. Ni lini sisi tutafanya wenyewe ‘and how’ (na kwa vipi),” alisema Spika Ndugai.
Job Ndugai alihoji wanaofurahia nchi kukopa na kwamba deni limefika Sh70 trilioni.
Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi...www.jamiiforums.com
View attachment 2070821
... hatujaletewa barua humu; kilicholetwa humu ni taarifa kwa umma kwamba Ndugai kaandika barua ya kujiuzulu. Kuhusu kujiuzulu mbele ya Bunge, kama ndivyo sheria inavyosema, hatua ya kwanza ni kuandika barua then "ikikubaliwa" mengine yanafuata ikiwemo kujiuzulu mbele ya Bunge.Sheria inasema spika anapaswa kujiuzulu mbele ya bunge sasa imekuaje hapa? Afu mbona barua ni kavu
We subiriSidhani kama hiyo subwoofer itafika 2025 bila kupasuka, hata sasaiv unawezakuta yuko hoi kitandani.
Bado kitaumana Sana tuinaonekana feki kabisa hii
Rais amevunjiwaje heshima?Huwezi kumvunjia heshima rais hadharani . Hata ningekua mimi ningemshughulikia kikamilifu ndugai.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ambayo si fake ipo utaikuta kijijini kwenuHii fake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anadhani upinzani ni jambo rahisi, amekuwa mpinzani ndani ya wiki tu na uspika ameukosa.