kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Unaweza kumshauri Mkuu Wenu Ajiuzuru kwa Kukirudisha Chama nyuma Kutoka kuwa na Wabunge zaidi ya 50 mpaka Mbunge mmoja wa kuchaguliwa....Kwa wimbo uliozoeleka toka '95' TUMEIBIWA.Kwa hiyo wakiwa CCM ndio wawe mazuzu Kama wewe?
Wasomi unamanisha na Yule Muhongo na hoja zake eti?Juzi wakati Job Luside akichangia hoja Bungeni, aliishia kuwakejeli na kuwadhalilisha Wasomi waliopo mle Mjengoni na nje ya Bunge. Chakushangaza ni kwamba nilimuona Mh Waziri Mkuu akigonga meza kuashiria kuwa anakubaliana na Kibajaji.
Hivyo basi Bunge la Ndugai ni la hovyo kabisa kueahi kutokea. Bado kitambo kidogo Mama kumuumbua kuhusiana na wale Wabunge covid-19.
Naibu spika alipandikizwa pale kila mtu anajua. Hana hata robo ya umahiri wa kina Makinda, Sita au hata mzee wa UkereweJob Ndugai ni Spika wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii! Ameriharibu sana bunge akisaidiwa na Naibu spika.
Katika list hii ongeza na Waziri Mkuu,alikuwa anakenua wakati kibajaji anawabagaza wasomi. Watatu hawa ni takataka kabisaJob Ndugai ni Spika wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii! Ameriharibu sana bunge akisaidiwa na Naibu spika.
Hii ndiyo sifa kuu ya kuwa mwanaccmKwa hiyo wakiwa CCM ndio wawe mazuzu Kama wewe?
Sita angekuwa wa kwanza halafu mzee wa Ukerewe kisha hiyo 'hata' ungempachika nayo mama Makinda!.Naibu spika alipandikizwa pale kila mtu anajua. Hana hata robo ya umahiri wa kina Makinda, Sita au hata mzee wa Ukerewe
Sita angekuwa wa kwanza halafu mzee wa Ukerewe kisha hiyo 'hata' ungempachika nayo mama Makinda!.
Atakuwa Mzazi mpumbavu asiyejua kulea watoto! saana wakikua siku moja watampiga...sababMzazi anayejali afya za mtoto huwa hajali kelele.
Zero bin sifuri...Hili pandikizi ungelipa marks ngapi?