kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Unaweza kumshauri Mkuu Wenu Ajiuzuru kwa Kukirudisha Chama nyuma Kutoka kuwa na Wabunge zaidi ya 50 mpaka Mbunge mmoja wa kuchaguliwa....Kwa wimbo uliozoeleka toka '95' TUMEIBIWA.Kwa hiyo wakiwa CCM ndio wawe mazuzu Kama wewe?