Spika Job Ndugai na Naibu wake wajiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kuliongoza Bunge

Spika Job Ndugai na Naibu wake wajiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kuliongoza Bunge

Kwa hiyo wakiwa CCM ndio wawe mazuzu Kama wewe?
Unaweza kumshauri Mkuu Wenu Ajiuzuru kwa Kukirudisha Chama nyuma Kutoka kuwa na Wabunge zaidi ya 50 mpaka Mbunge mmoja wa kuchaguliwa....Kwa wimbo uliozoeleka toka '95' TUMEIBIWA.
 
Juzi wakati Job Luside akichangia hoja Bungeni, aliishia kuwakejeli na kuwadhalilisha Wasomi waliopo mle Mjengoni na nje ya Bunge. Chakushangaza ni kwamba nilimuona Mh Waziri Mkuu akigonga meza kuashiria kuwa anakubaliana na Kibajaji.

Hivyo basi Bunge la Ndugai ni la hovyo kabisa kueahi kutokea. Bado kitambo kidogo Mama kumuumbua kuhusiana na wale Wabunge covid-19.
Wasomi unamanisha na Yule Muhongo na hoja zake eti?
 
Heading ya uzi imakaa kiutata...! Utadhani ni taarifa kumbe ni maoni ya mtu wa JF!
 
Tatizo la mwandishi una dharau kwa mtu kisa darasa la saba.mbona unamuona kibajajia hafai, acha dharau wewe. Ivi wew kuishia darasa la 7. Ni uhaini. Acha ubaguzi.
 
Nimemuona Ndugai kanuna kweli huku naibu akipiga makofi wakati wanapewa vidonge vyao na mh Rais...
 
Job Ndugai ni Spika wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii! Ameriharibu sana bunge akisaidiwa na Naibu spika.
Naibu spika alipandikizwa pale kila mtu anajua. Hana hata robo ya umahiri wa kina Makinda, Sita au hata mzee wa Ukerewe
 
Ujumbe wa Rais unazihusu zile team mbili zilizoibuka baada ya JPM kufariki.

Team ya kina Kibajaji na wote wanaokiri kuwa bila ya Hayati wasingekuwepo mle ndani.

Team Makamba ya watu wanaosema maisha yaendelee kama zamani na kazi za Hayati zitazamwe kwa kutendewa haki maoni yanapotolewa.

Hizi teams mbili ndio zinazodemka na kusahau lengo pana la kazi na mchango wa bunge katika ujenzi wa taifa.

Spika hawezi kukwepa lawama akiwa ndio kiongozi wa mhimili wa bunge.
 
Kujadili vitu visivyowezekana ni matumizi mabaya ya ubongo
 
Job Ndugai ni Spika wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii! Ameriharibu sana bunge akisaidiwa na Naibu spika.
Katika list hii ongeza na Waziri Mkuu,alikuwa anakenua wakati kibajaji anawabagaza wasomi. Watatu hawa ni takataka kabisa
 
Ndugai alkuwa poa sana tatzo alipowekewa naibu spika na yule mwizi mwendazake tulia akson ndo bunge likavurugika.

Tulia alipelekwa bungeni kwa ajili ya lengo la kuvuruga
 
Kwa hiyo wakiwa CCM ndio wawe mazuzu Kama wewe?
Hii ndiyo sifa kuu ya kuwa mwanaccm
20210416_081237.jpg
IMG-20201103-WA0001.jpg
 
Naibu spika alipandikizwa pale kila mtu anajua. Hana hata robo ya umahiri wa kina Makinda, Sita au hata mzee wa Ukerewe
Sita angekuwa wa kwanza halafu mzee wa Ukerewe kisha hiyo 'hata' ungempachika nayo mama Makinda!.
 
Mzazi anayejali afya za mtoto huwa hajali kelele.
Atakuwa Mzazi mpumbavu asiyejua kulea watoto! saana wakikua siku moja watampiga...sabab

Kwa nini alimpa pipi mtoto badala ya ndizi? Km ni ivo..
Kwa nini aliacha mtoto akaenda omba pipi kwa jirani? Au aokote?

Mtoto ana akili kupita mzazi sababu pipi ni yake! Ana enjoy!
Lizazi linyanganya tu bila kuwaza!! bila kujali ameipataje kwa utamu ule.
 
Back
Top Bottom