Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
Ni watu wawili, au matukio mawili tofauti! Lazaro wa kifuani kwa Ibrahim Yesu alimtolea mfano na wa kufufuliwa alikua family friend!Lazaro wa kifuani mwa Ibrahim na yule aliyefufuliwa na Yesu ni watu wawili tofauti
Kwani wamemnyanganya heshima yake?Azikwe kwa heshima zake huyo mama, kamaliza safari yake bado mimi na wewe... apumzike kwa amani.
Ni vizuri kama bado hajapumzishwa wampumzishie kwenye himaya yake aliyoijenga pale Mikocheni.
Pumzika salama Dr.
kTigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Mnahangaika nini? 1+1=2.Mjinga wewe, mbona kanisani wanakusanyika na hawakatazwi? Tumia akili!
Mimi nimeongelea suala la familia kuiomba serikali azikwe kwenye eneo la kanisa lakini. Mengine sijui.Jana baba ake simbachawene kazikwa na mamia ya watu iweje yeye azikwe na watu kumi pekee ?
Hivi bado tu mnajiuliza maswali? Mbona hili jambo halihitaji degree ya St John hata ile Kolomijee primary school inatosha sana kuelewa.
Bawasiri jeNgoma,kisukari,Athma,pressure. Coronavirus ikija juu yake ni hatari sana.
Bawasiri ndo ugonjwa gani ?Bawasiri je
Kumbuka kesho kuna msongamano wa watu wanaojiita kwenda kuliombea taifaTigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Mwenye macho haambiwi ona, wala mwenye masikio haambiwi sikia mjinga...............ndo hivyo.Kwanini familia iiombe serikali wazike kwenye eneo la kanisa? Familia haina mamlaka ya kuamua azikwe wapi mpaka waiombe serikali?
Kwanini watu wasiozidi 10? kwanini wasiwe 100 huku wakizingatia social distance, kunawa, mask na sanitizer?
Amelala kwa korona shujaa gani .huyu alieshangilia binadamu mwenzie auaweIdadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!