AMEN.Watu mnapenda kuhisi, sasa huyu mama corona kaipatia wapi?
May her soul rest in peace.
Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Kwa janga hili kweli mtu unahudhuria shughuli ya watu wengi kweli?Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Ni kweli kabisa, ni watu tofauti. Aliyefufuliwa ni mtu halisi kaka yake Martha, na yule wa peponi ni wa kufikirika alitumiwa kama character na Yesu Kristo ili kukamilisha mafunzo. The same applies kwa msamaria mwema na mtu aliyevamiwa na wanyang'anyi, ni characters wa kuwezesha kutoa mafunzo. AmenLazaro wa kifuani mwa Ibrahim na yule aliyefufuliwa na Yesu ni watu wawili tofauti
Mkuu hao 254 wanaougua corona unadhani wameipata wapi?Watu mnapenda kuhisi, sasa huyu mama corona kaipatia wapi?
May her soul rest in peace.
Kuna sehemu hairuhusiwi kuzika mkuu.Tangu lini familia inaomba kuzika mwili sehemu fulani!
Ni mamilioni mangapi yanahudhuria ibada makanisani na misikitini wakati huu wa janga la Corona.Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Daaaaah !!R.I.P Mama. Wamesema ikiwezekana. Sasa Serikali ndo muamuzi wa mwisho. Mazishi kusimamiwa na Serikali. Merci à la Chine. Mama Rwakatare alivyokuwa msitari wa mbele kukemea Coronavirus. Leo imemwondoa. 😥😥😥💔💔💔💔
Nadhani hujaelewa msingi wa hoja yake, anasema kama Jumapili walikusanyika wengi kanisani kwa nini iwe nongwa kwenye mazishi?Jumapili hakuwepo kanisani.
Nyumbu si mlikuwa mnasema jana kwamba ameshazikwa kimya kimya?Wasije wakapageuza sehemu ya kuabudia. Serikali haioni hatari iliyopo?
Haya, anaenda kuzikwa kimya kimya. Mada kuu hapo ni kuzikwa kimya kimya!Nyumbu si mlikuwa mnasema jana kwamba ameshazikwa kimya kimya?
Aisee ila kigogo kawashika kila tapishi nyie mnameza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua utaratibu wa maeneo ya kuzikia?Kama ni suala la kuepuka msongamano tu, kwa nini mahali pa kuzikia iwe ishu ya kuiomba serikali? Unataka kusema misiba yooote sasa mzikaji ni serikali? Mbona wengi wamezikwa na ndugu zao?
Kwani nini kinashindikana, mwili unazikwa kwa sababu za kiusalama halafu pale mnaletewa jeneza tupu na halifunguliwi, kuna jambo linashindikana bongo!Nyumbu si mlikuwa mnasema jana kwamba ameshazikwa kimya kimya?
Aisee ila kigogo kawashika kila tapishi nyie mnameza tu
Sent using Jamii Forums mobile app