Mkuu, uko na Muda wa Kupoteza Kuangalia MazuzuSpika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji8][emoji8]Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
Hana JINSI Mwendazake alimdanganya Waue UPINZANI MATOKEO yake Akafa yeyeSpika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
Ila Mungu fundi jamani, dhalim alifikiri ataishi milele kuwatesa wapinzaniHana JINSI Mwendazake alimdanganya Waue UPINZANI MATOKEO yake Akafa yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa peke aliyemuona mke Wa Yesu
Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania[emoji23]Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
Nimecheka sana kuona japo hali hii waliitaka wenyewe lakini hayajaridhika!!Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
Hivi wale UVICO 19 mbona wamepwaya sana?Mkuu, uko na Muda wa Kupoteza Kuangalia Mazuzu
Ndy mkuu!! Yani yanababaika utadhani kuna mwananchi anayejali yanachokifanya wakati wala hatuna time na majizi yaliyojivika kinga ya bunge,,,Nalifikiria jitu Kama Rweikiza zuzu la bukoba "v" yani ameshindwa kujenga hoja barabara ya kanazi-Izimbya Na kanazi-Kyaka ijengwe kiwango cha lami hilo jimbo limeongozwa na mazuzu kadhaa kuanzia sijui akina Kinyondo,Rutaraka na Rweikiza mwenyeweTunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania[emoji23]
Hayo wala si ya kuyazungumzia yanadhani pesa tu inaweza kukupa heshima,,,kumbe vitu vidogo vinakufanya uwe mbuzi flani hivi au lipaka shumeHivi wale UVICO 19 mbona wamepwaya sana?
Mpwa huna adabu, huwezi kunichekesha kiasi hiki aiseeee, nimevuta picha fulani nikacheka sanaSpika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania