Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Kishenge

Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
53
Reaction score
139
Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,sisi wananchi tunajipambania.
 
Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
Mkuu, uko na Muda wa Kupoteza Kuangalia Mazuzu
 
Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji8][emoji8]
 
Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
Hana JINSI Mwendazake alimdanganya Waue UPINZANI MATOKEO yake Akafa yeye
 
🤡🤡🤡
EW1pj.jpg
 
Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania[emoji23]
 
Nimecheka sana kuona japo hali hii waliitaka wenyewe lakini hayajaridhika!!
 
N
Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania[emoji23]
Ndy mkuu!! Yani yanababaika utadhani kuna mwananchi anayejali yanachokifanya wakati wala hatuna time na majizi yaliyojivika kinga ya bunge,,,Nalifikiria jitu Kama Rweikiza zuzu la bukoba "v" yani ameshindwa kujenga hoja barabara ya kanazi-Izimbya Na kanazi-Kyaka ijengwe kiwango cha lami hilo jimbo limeongozwa na mazuzu kadhaa kuanzia sijui akina Kinyondo,Rutaraka na Rweikiza mwenyewe
 
Hivi wale UVICO 19 mbona wamepwaya sana?
Hayo wala si ya kuyazungumzia yanadhani pesa tu inaweza kukupa heshima,,,kumbe vitu vidogo vinakufanya uwe mbuzi flani hivi au lipaka shume
 
Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali tumeshayaachia shamba yale yatakavyo,,,sisi wananchi tunajipambania
Mpwa huna adabu, huwezi kunichekesha kiasi hiki aiseeee, nimevuta picha fulani nikacheka sana
 
Back
Top Bottom