Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mwendazake aliwezaje kuzipitisha!!!!?Ameeleza, "Bunge tunaweza kuweka 'pressure' lakini sio vizuri tuiweke mahali ambapo hakuna sababu. Waziri nataka majibu, Fedha zinazokuja kwa ajili ya mazingira zinakwama Wizara ya Fedha kwa sababu gani? Mpaka inafika mahali zinataka kurudishwa"