Spika Ndugai amesema kuna upotoshaji mwingi unaendelea nchini, adai kuna wakati sheria za hovyo zinapitishwa bungeni

Sasa bunge kama chombo cha wananchi si ndio kilitakiwa kihakikishe hizo sheria mbovu hazipiti.
Na spika anaachaje wabunge wanasambaratika?
 
Ni upuuzi kusingizia ukabila, in other hand hi's right.
 
Kwa 100% kuna matatizo ya uteuzi au kuwachagua viongozi wa muhimili mbalimbali, historia zao, uwezo wao na weledi wao haviangaliwi kwa makini ndio maana tunakuwa na viongozi kila kukicha wanaropoka hovyo na hawakawii kuja kukana kauli zao!
Tuchukue hatua
 
Jamani si ndiyo huyu huyu, aliyepitisha azimio la kpongeza kushinda kiti cha MWENYEKITI wa sadcc, kawati akijua ni uongo mtupu, kiti hakishindaniwi Bali ni kwa majibu wa Kati a ya jumuia hiyo. Sasa Omani kwake itatoka wapi?
 
Nchi kama ipo serious haiwezi kuwa na Spika mpuuzi kama huyu mzee
 
Anachotaka kusema hapa ni kuwa serikali inapitisha miswada kwa kuvizia attendance ya wabunge??

Kama ameliona hilo anapaswa kuwakatalia kwa kuhakikisha kuwa miswada inajadiliwa kukiwa na mahudhurio ya kutosha ya wabunge.

Hapo tunaanza kuulizana National Interest ni ipi??
 
MH SIAMINI HAYA KABISA KWELI KABISA SUPIKA WETU WA BUNGE ANAWEZA KUSEMA SHERIA MBOVU ZINAPITISHWA KWENYE BUNGE LAKE?!?!!? HALAFU YEYE MWENYEWE AZILALAMIKIE?!? HIVI TUULIZANE NI NANI ANYEPELEKA SHERIA ZILIZOPITISHWA NA BUNGE KWA RAIS?!?. NAANZA KUAMINI SUPIKA KUNA KITU KICHWANI MWAKE KIMELEGEA SUKURUBU IMEACHIA MEDULA OBLANGATA, ANAHITAJI KURUDI INDIA!!. HIVI KWELI SUPIKA NAKIMBILIA KWENYE UGOGO,UKABILA?!?!, USOMI, DARASA LA SABA?!?! HIZO NI HOJA KWELI ZA KUTULETEA HAPA KAMA VILE SISI WATZ WOOOTE NI MBUMBUMBU!!??!, NO HATUKO MAZEZETA KIASI HICHO
 
MH SIAMINI HAYA KABISA KWELI KABISA SUPIKA WETU WA BUNGE ANAWEZA KUSEMA SHERIA MBOVU ZINAPITISHWA KWENYE BUNGE LAKE?!?!!? HALAFU YEYE MWENYEWE AZILALAMIKIE?!? HIVI TUULIZANE NI NANI ANYEPELEKA SHERIA ZILIZOPITISHWA NA BUNGE KWA RAIS?!?. NAANZA KUAMINI SUPIKA KUNA KITU KICHWANI MWAKE KIMELEGEA SUKURUBU IMEACHIA MEDULA OBLANGATA, ANAHITAJI KURUDI INDIA!!. HIVI KWELI SUPIKA NAKIMBILIA KWENYE UGOGO,UKABILA?!?!, USOMI, DARASA LA SABA?!?! HIZO NI HOJA KWELI ZA KUTULETEA HAPA KAMA VILE SISI WATZ WOOOTE NI MBUMBUMBU!!??!, NO HATUKO MAZEZETA KIASI HICHO. NAANZA KUKUMBUKA ISSUE YA PROF. ASSAD KUANZIA REPORT YAKE YA UKAGUZI MPAKA HOJA YA BUNGE NI DHAIFU. SUPIKA KATUHAHAKISHIA ASILIMIA MIAMOJA BILA KUBAKIZA KWAMBA KWELI BUNGE NI DHAIFU HASWAA!! KWA KUSEMA SHERIA MBOVU ZILIPITISHWA BUNGENI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…