Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hiyo hapoNimeona taarifa ya Bunge kuwa Ndugai anatuomba radhi Wakristo. Kusema Yesu ana mke hayo ni maneno ya Mpinga Kristo kwa mujibu wa imani yangu.
Kwanini Ndugai atume mtu aniombe radhi wakati amemdhalilisha Bwana wangu Yesu Kristo na kumnenea uongo?
Ndugai ameshindwa nini kuja kwenye vyombo vya habari yeye mwenyewe au kutumia njia ilele aliyonikwaza kuniomba radhi?
Mimi naona amenidharau na dini yangu na Bwana wangu. Sijamsamehe