Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

Hiyo hapo
 
Nguvu ya mitandao imefanya kazi, na sisi hili Shauri tunamuachia Yesu Kristu aamue itakavyompendeza.
Acheni kutafuta ujiko kirahisi rahisi. Akuombe msamaha kwani amekukosea nini? Kukosea ni jambo la kawaida. Isitoshe, kisheria, anaypaswa kuomba msamaha ni Yesu kama atakuwa ameudhika. Pia, fahamu. Yesu alipoondoka alicha wanafunzi na si wakristo jina ambalo liliundwa na maadui zake kwa kejeli wakimaanisha wale walioanza kufuata mafundisho yake sawa na walutheran na luther au wahutterite na Jacob Hutter wamennonite na Menno Simmons etc.
 
That man won't go further from where he is now, he has spoken blasphemy and he is liable to be devoured by the Almighty God's wrath
 
Hakupaswa kuomba huo msamaha kwani waliokosewa si wakristo bali Yesu ambaye naye halalamiki. Kukosea ni jambo la kawaida. Isitoshe, kisheria, anaypaswa kuomba msamaha ni Yesu kama atakuwa ameudhika. Pia, fahamu. Yesu alipoondoka alicha wanafunzi na si wakristo jina ambalo liliundwa na maadui zake kwa kejeli wakimaanisha wale walioanza kufuata mafundisho yake sawa na walutheran na luther au wahutterite na Jacob Hutter wamennonite na Menno Simmons etc.
 
Ulimi hauna mfupa!
Uwe na amani tu kaka Ayubu.

Na wala kwa kusema hivyo haindoi uhalisia wa kuwa Yesu hakuwahi kuoa na ni Mkombozi wa Ulimwengu.

Sisi ni waelewa na hatunaga desturi za visasi na kukutuhumu kukufuru.
 
Unaonekana umejipanga kwa ubishani wa kiimani, nakushauri kunywa maji kwanza.
 
Hongera Kwa Spika Kwa kujua kosa na kurekebisha na kuomba radhi hakika tunatakiwa kujifunza Kwa viongozi wetu hawa!!!
 
Mchana nilosema huyu wamuwahishe pale jirani yake hamkunielewa
 
Wakristu hawana time na wala wasingemuuliza...yeye aombe toba kwa Mungu.
Ila siku zote kiburi na kuwa much know lazima siku moja upate aibu...
Hata hivyo hapa duniani sisi ni wapitaji..
Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…