Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kama kweli Ndugai ni mzee wa kanisa hilo kanisa waumini wake wana hali gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna bunge?Aombe kama nani Ndungai au Spika? Kama alizungumza kama Spika basi bunge ndio liombe toba sio yeye.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ila maandiko ya biblia mpaka uchapie kiasi hicho ni tatizo, ila kaka lazima tutofautishe maisha ya imani na matumizi ya imaniy hapo ndipo kuna shida.Hii ni kuteleza tuu ulimi ni jambo la kawaida, lets not make it a big deal!.
Its normal for human beings
Hata ile neno fonti fedi, kilo ta sukari elfe 5, Sadam rais wa Kuwait, na hata Mulugo aliwahi kuteleza ulimi kwenye kadamnasi ya kimataifa...
Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]
Wanabodi, Kumekuwepo kwa thread mbali mbali za kumshutumu, kumbeza hadi kumkebehi Naibu Waziri wa Elimu Mhe. Phillip Mulugo kwa kauli yake ya Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Pemba!. Naomba kujitokeza kumtetea huyu jamaa "It was only a slip of a tongue!. Yaani aliteleza tuu ulimi...www.jamiiforums.com
P.
Lakini hakukuwa na sababu ya kuomba radhi kwani ukiisoma Biblia vizuri utaona mke wa Yesu alikuwa Mariamu MagdalenaSpika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel
Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama alivyotamka
Amesema kilichotokea ni kosa la kibinadamu. Alivyokuwa anaeleza kuwa anaufahamu ukristo vizuri na kuwa amewahi kuhiji maeneo matakatifu
View attachment 1918431
View attachment 1918433
AminaNguvu ya mitandao imefanya kazi, na sisi hili Shauri tunamuachia Yesu Kristu aamue itakavyompendeza.
Mbona wengine wakikosea wanaonekana hawafai??Kukosea ni kawaida tu.
Inafaa kabisa spika Ndugai akapimwe akili, suala lisiishie kuwaomba radhi wakristu wa tz peke kutokana Yesu kristu sio wa watanzania peke, yeye ni mkombozi wa mabiloni ya wakristu duniani kote na wengine huthubutu kumuona yeye ni Mungu.Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel...
Biblia. Mathayo 12:34
Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.
Jana kwenye maongezi Ndugai alijichanganya sana. Haikuwa kuteleza kwa Ulimi ndo moyoni mwake alivyo. Kusema Yesu na Mke wake walitembea kutoka....
Kusema anafahamu Distance na Umbali. Unagundua hajielewi na Mungu alimpofusha uelewa wake ili aonekane kituko.
Tayari kwenye uzi chiniJitahidi kupata video utuwekee tafadhali