Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naaam
Ila bado kakosea...kiimani Yosefu hakuwa mume wa Bikira Maria...
Alikuwa mchumba wake...
Kwahiyo Kuna Radhi nyingine tunaisubiria[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kachemsha tena...hakuna popote kwenye maandiko waliyosema Yosefu alikuwa mume wa Maria.
Kinachoshangaza bunge zima!! Wabunge zaidi 350, hakuna hata mmoja ambae hakulitolea muongozo hlo Jambo, yaan for the moment lile kosa palepale wabunge walipaswa kusimama na ku correct hlo,Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel
Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama alivyotamka
Amesema kilichotokea ni kosa la kibinadamu. Alivyokuwa anaeleza kuwa anaufahamu ukristo vizuri na kuwa amewahi kuhiji maeneo matakatifu
View attachment 1918431
View attachment 1918433
Makosa juu ya makosa. Spika ajisalimishe mwenyewe kwenye Ksmati ya Maadili ya BungeMariam alikuwa mchumba wa yusufu na hakuwa mke kama ******* anavyotuaminisha.
Safari ya kwenda kuhesabiwa Ilianzia Nazareti kwenda Bethlehemu, mji wa Daudi, na sio Nazareti kwenda Yerusalemumkuu yosefu alikuwa mme wa mariamu
"It's a big deal" pale Spika anapotumia Biblia na Kanuni za Bunge kuhalalisha hukumu dhidi ya Mbunge, ambaye pia ni mtumishi wa Mungu, kwa mahubiri yake kwenye nyumba ya BwanaHii ni kuteleza tuu ulimi ni jambo la kawaida, lets not make it a big deal!.
Its normal for human beings
Hata ile neno fonti fedi, kilo ta sukari elfe 5, Sadam rais wa Kuwait, na hata Mulugo aliwahi kuteleza ulimi kwenye kadamnasi ya kimataifa...
Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]
Wanabodi, Kumekuwepo kwa thread mbali mbali za kumshutumu, kumbeza hadi kumkebehi Naibu Waziri wa Elimu Mhe. Phillip Mulugo kwa kauli yake ya Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Pemba!. Naomba kujitokeza kumtetea huyu jamaa "It was only a slip of a tongue!. Yaani aliteleza tuu ulimi...www.jamiiforums.com
P.
Huwezi kukosea kihivyo...Kukosea ni kawaida tu.
Mariamu alikuwa mke wa Yusuf?
Safari ya kwenda kuhesabiwa Ilianzia Nazareti kwenda Bethlehemu, mji wa Daudi, na sio Nazareti kwenda Yerusalemu
Hivyo sisi wakristu na watanzania wengine bado tumekwazika, kwa kanusho kuendelea kupotosha[emoji34]
Hii nayo?
Hii ni dalili kuwa bado tutaumizwa sana kwa tozo. duh! Tangu nione sijazaliwaSpika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel
Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama alivyotamka
Amesema kilichotokea ni kosa la kibinadamu. Alivyokuwa anaeleza kuwa anaufahamu ukristo vizuri na kuwa amewahi kuhiji maeneo matakatifu
View attachment 1918431
View attachment 1918433
Ni WASAMEHE siyo WASANEHENi wa kristo sio wa kristu, maandiko yanasema wasameheni watu makosa yao kama baba yenu wa mbinguni anavyo wasanehe ninyi,
Ni WASAMEHE siyo WASANEHE
Hebu fikiria kwenda motoni kwa kukosea tahajia tu. Duh!
Hata kama kaombewa radhi na kitengo chake cha mawasiliano, Juha huyu anayejiita "Lay Cannon" hayupo sahihi. Ni mpotoshaji aliyefanya makosa mawili kwenye sentensi moja tu!! Je zingekuwa sentensi kumi si ingekuwa balaa! Kosa la kwanza ni kumuita "Yesu na mke wake" na kosa la pili "kwenda Jerusalem". Hivyo Ndugai anajua kuwa Jerusalem na Bethlehem ni miji miwili tofauti?!? Ama kweli jamaa ni dhaifu kwa mengi.Siyo kila kitu ni propaganda kama zinazofanyika dhidi ya chadema, hata kama msamaha umeombwa lakini Yusuph na Mariam walikuwa wanaenda bethlehem siyo huko ulipotaja wewe na kupigiwa makofi ya haja
Nimesikitika sana , sitaki kudanganywa.
Inakera sana na walioomba msamaha wanaendelea kudanganya kwamba safari ilikuwa ni ya jerusalem, wanakera sanaHata kama kaombewa radhi na kitengo chake cha mawasiliano, Juha huyu anayejiita "Lay Cannon" hayupo sahihi. Ni mpotoshaji aliyefanya makosa mawili kwenye sentensi moja tu!! Je zingekuwa sentensi kumi si ingekuwa balaa! Kosa la kwanza ni kumuita "Yesu na mke wake" na kosa la pili "kwenda Jerusalem". Hivyo Ndugai anajua kuwa Jerusalem na Bethlehem ni miji miwili tofauti?!? Ama kweli jamaa ni dhaifu kwa mengi.