Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

Ila maandiko ya biblia mpaka uchapie kiasi hicho ni tatizo, ila kaka lazima tutofautishe maisha ya imani na matumizi ya imaniy hapo ndipo kuna shida.

Yaani unataka kuaminisha umma kupitia andiko alafu unajijua si msimaji wa andiko, kinachotokea ni kukosea tu.
 
Job Ndugai, Spika ni mtu muungwana sana tena sana.
kwa uungwana wake ulivyo, Mungu amepokea msamaha wake. sote tumemsamehe kwani ni kawaida kwa binaadamu kuteleza.
 
Lakini hakukuwa na sababu ya kuomba radhi kwani ukiisoma Biblia vizuri utaona mke wa Yesu alikuwa Mariamu Magdalena
 
Nimeisoma barua ya Mh. Spika ya kuomba radhi kwa kunukuu kimakosa kifungu cha Biblia Takatifu katika Luka 2:4, bado barua imekosea tena kwani maandiko ya Biblia yanasema "Yusufu naye aliondoka Galilaya,toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi,uitwao Bethlehemu (sio Yerusalemu).......
 
"Sameheaneni ninyi kwa ninyi saba mara sabini"

Mambo ya jino kwa jino muachieni yeye pekee mwenye mamlaka ya kuhukumu Binadamu.
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel...
Inafaa kabisa spika Ndugai akapimwe akili, suala lisiishie kuwaomba radhi wakristu wa tz peke kutokana Yesu kristu sio wa watanzania peke, yeye ni mkombozi wa mabiloni ya wakristu duniani kote na wengine huthubutu kumuona yeye ni Mungu.

Imani ya kiislam inasema:ili uwe muislamu ni lazima kukiri kuwa nabii Issa(YESU) ni mtume wa Mungu hakuzaa wala hakuoa, Spika Ndugai kusema: yesu katembea namkewe, kadhalilisha sehemu ya Iman ya kiislam na kuitia doa.
 
Biblia. Mathayo 12:34

Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.

Jana kwenye maongezi Ndugai alijichanganya sana. Haikuwa kuteleza kwa Ulimi ndo moyoni mwake alivyo. Kusema Yesu na Mke wake walitembea kutoka....

Kusema anafahamu Distance na Umbali. Unagundua hajielewi na Mungu alimpofusha uelewa wake ili aonekane kituko.
 
Halafu cha ajabu kulikuwa na misukule pale ilikubaliana nae ndio maana haikumzuia kuendelea kushusha utopolo wake.
 
Misukule mingine ilikua bado inapiga makofi yaan jana nilicheka sana na alivokua anajifanya mjuaji kumbe ndo anaharibu
 


Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
kwenye sentesi yako ya mwisho, hujaiongezea nyama vizuri.

si kwamba Mungu alimfanya kituko tu. Bali alimfanya aonekane chizi tena chizi flesh.

Chizi flesh ni yule ambaye anaweza kuvaa vizuri kumbe kwenye ubongo wake jua limezamaaaaaa.
 
ndugai ni taa na ile misukule ilokua inapiga makofi -hira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…