Spika Ndugai apinga agizo la Serikali kuzuia wanafunzi kusoma wakati wa likizo, aahidi kulifikisha Bungeni

Nyinyi ni wazushi wazee wa zengwe wachochea ugonvi mpo wengi humu janvini
 
Huyo waziri amechemka vibaya sana maana kama ni tuition ni hiari ya watoto na wazazi wao.

Waziri anaingilia ili iweje?
Awache wazazi wafanye maamuzi juu ya future ya watoto wao.
 
Itapendeza iwapo ndugai ataanzisha shule yake ya uongozi
 
Majibu...
1. Walimu shule za serikali hawajitoshelezi, mwalimu mmoja anafundisha sayansi la 7, sayansi la 6, hisabati la 5 na kiingereza la 3
2. Muda wa likizo ni sahihi tu kama uwiano wa walimu na wanfunzi ni wa 1:5. Shule za serikali ni kwa wastani ni 1:40
3. Umesema sawa.
 
Hoja yako inaweza kuwa valid mzee wangu ila Hilo wazo Lakota la kulifikisha bungeni sina Hakka kama litakusaidia maana Hilo bunge unalolisema si ni lile mkaguzu mkuu Asad alisema ni dhaifu? Bado na udhaifu wake haina watu wa kuchambua hoja kama kina Msigwa, Kesi, Mbowe, Chenge,Lema,Heche bardo sijaona bunge la kupeleka hoja yako wakakusaidia Ila kama unataka vijembe utapewa vya kukutosha.
 
Ayubu yuku kasi sana, hapoi.
 
Kama wewe ni mgogo pole sana mkuu
We mbangubangu unasemaje
Me na Dodoma tofauti ndugu
watu aina ya ndugai hawafai kupewa madaraka makubwa
Kwa sababu yeye mwenyewe anajiona kama hafai ataishia kuumiza watu ili kujipa ukuu ambao anahisi hana jambo ambalo hamna mwenye habari nalo
Hata uwe msandawe hamna anayejali hilo fanya kazi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni madaraka makuu ndiyo tayari anayo maana anaongozo moja ya mhimili unao ogopwa sana hapa TANZANIA
 
Kama darasa moja lenye mwalimu mmoja linatoa wanafunzi wenye ufaulu tofauti bila shaka kuna uhitaji tofauti wa ufundishaji katika hili Spika yuko sahihi
 
Ondoa hiyo point ya tatu..mengine yote sawa nakuunga mkono. Muda unatosha kabisa. Utumike huo, ziada ni ujanja ujanja tu
 
Huyu jamaa hafai kuwa spika
 
Haki ya kupumzika ni muhimu sana kwa wanafunzi wote,kama hawakuweza kukamilisha syllabus kwa muda uliopangwa ni kosa la wasimamizi wa elimu.

Ni kinyume kabisa na kanuni za afya ya akili kusoma mwaka mzima bila mapumziko,Ndugai akapimwe akili kabla ajaanza kuvua nguo hadharani!
 
Ndugai Sasa anapinga kila kitu
Inawezekana anafanya mazoezi ya Yeye mwenyewe ku-act kama kambi rasmi ya upinzani bungeni.

Salamu hizi ziwafikie Covid-19. Kwa sababu ili Kiroboto kiende, na Askofu Chidi aondoe, Covid-19 lazima wafyekwe kwanza.

Job yupo on job training kupingapinga.

πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…