Spika Ndugai apinga agizo la Serikali kuzuia wanafunzi kusoma wakati wa likizo, aahidi kulifikisha Bungeni

Kile kigezo cha "safari hii tunataka spika mwanamke" kilichomtoa Samwel Sita itabidi kitumike kumuengua huyu jamaa. Laana za kumnyima Tundu matibabu na pia kumtukana Ulimwengu zinamuandama.
 
Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.

Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.

Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Tatizo ili, tena tatizo kweli kweli, , maisha unapitia sehem yeyote ulipo. Kama we n mzembe huwez kuwa mkakamav hata masomo yaondolewe mbele yako. Na huyu mama mbona anamawazo utadhan alizaliwa juzi.....

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi ina vituko hii!
 
Huyu ndio alisema mwalimu wa physics anaweza kufundisha hata civics na history kweli hilo bunge ni haki lipoteze muelekeo.
 
Lini sisi ccm tunamuita ndugai kwenye kamati ya maaadili?

Au kamati ya maaadili ni watu ya wengine[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] vijana wa digrii mnamtukana MNAZARETI
 
Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.

Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.

Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Hapo angewasiliana tu na waziri husika kwasabu ana access yakufanya hvo..lakina yy Kama kiongozi anakuwa Kama anakosoa kilichosemwa na serikali waziwazi Jambo ambalo syo zuri.
 
Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.

Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.

Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Ameanza hoja za kikabila sasa
 
Kwann usimpe wakati wa likizo.Likizo ni mapumziko
 
Ugogo unaingiaje hapo sasa
Maneno kama hayo ndiyo yanafanya adharaulike sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Alikuwa anaongea na vijana wa jimboni kwake ndio akawaamisha hivyo kwamba wasione anapingwa kila wakati si kwa sababu anapungufu lolote ila ni kwa sababu yeye ni mgogo
 
Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.

Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.

Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
ameyasema haya akiwa wapi
tuwekee video
 
Lingekuwa agizo la kipindi cha Jiwe wangeba na kusifu kila kona
 
ameyasema haya akiwa wapi
tuwekee video
Video ni ndefu kidogo nimeshindwa kuapload ila ameongea hayo akiwa dodoma na kama ulipata wasaa wa kusikiliza video anayopinga serikali kukopa basi huu ni mwendelezo wake
 
Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.

Spika Ndugai amesema wananchi wa kongwa walikuwa wamejipanga wanafunzi kusoma wakati wa likizo huku wakiwa tayari kujitolea kwa chakula pamoja na motisha kwa walimu ambao wangejitolea kufundisha wanafunzi hao na hivyo amedai kwamba kitendo cha serikali kuweka zuio ni kuchelewesha maendeleo kwani wanafunzi wanaosoma wakati wa likizo ni madarasa ya mitihani pekee.

Katika hatua nyingine, spika Ndugai amedai kuwa watu wanamdharau kwakuwa yeye ni 'mgogo' huku akiwashukia vikali vijana wenye digrii kuwa ndio wanaoongoza kwa kumtukana mitandaoni.
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Kumekucha sasa ndani ya ccm.
 
Back
Top Bottom