Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

Mkwepa kodi mkubwa ni Mwigulu

 
Reactions: Qwy
Umeongea kwa busara sana sana, Mungu akusaidie uendelee kuwa na busara hii hii
 
Ukiwa mdhalimu na mnyang'anyi lazima uombewe kifo ili usilete madhara zaidi, na bahati nzuri maombi yao yanajibiwa positively!
Ukiombewa wewe kifo na dua ikasikika tambua kuwa maisha yataendelea kama kawaida.
 
Maisha yanaendelea kama kawaida. Mwenye kujiamini haogopi kufanya anachokiamini eti kwa sababu kifo kipo.

Anakufa imamu, anakufa Papa, anakufa mzee anayeheshimiwa na jamii!.

Cha muhimu hapa duniani tuheshimiane tusitake kupandana juu ya vichwa. Mtu asitake ku-blackmail ufanisi wa mtu eti kwa kitisho cha kifo!.

Maisha yote kwa ujumla wake ni neema tu.
 
Ila ebu msikieni huyu MZALENDO wa Ughaibuni..
Your browser is not able to display this video.
 
Wale wa kuhamia Burundi hamie fasta, haka kagonjwa ka akili kameshaamu na ndiyo imetoka hiyo.
Katakufa muda si mrefu lakini haitabadisha kitu kwenye issue ya tozo. View attachment 1864808
Ahurumiwe tu hajijui wala hajui akifanyacho, anachojua ni kuvaa koti, tie, kuongea kitemitemi na kuvaa joho la blue
 
Hii takataka ilipataje kura za kuwa spika.....?!
 
Huyo mpuuzi bora akae kimya asubiri zanu yake aende zake.....hana jioya kwa Taifa.....puuzi tu sawa na pa kutolea ushuzi
 
Kwa kauli hii maana yake bunge limeshindwa kuishauri serikali inabidi sisi wananchi tuingilie kati! Shame, very shame!!!
Wakwepa kodi waliojijazia mishahara na marupurupu wanashindwa kazi wanataka kusaidiwa,hawawezi kufanya utafiti? Wenzao nchi jirani petrol bei chini,sukari chini,gharama za simu nafuu na wabunge wanalipa kodi.... Jinga sana
MTU anakwambia kuna sheria ilipita anahisi alilala huyo ni kiongozi gani? Wanatunga masheria ya ujinga Leo ukiuza mirungi unafungwa miaka 30 alafu Kenya wanapiga mihela kibao kwa kuexport iyokitu na wanamaakili mazuri hats kutuzidi.
Walipaswa kutenga madawa hatari zaidi na ya kati! Bangi nisawa na unga?? Ujinga gani huu,atakuja sema iyosheria ikipitishwa alikua kaenda kunya huyu!!!!
1) wao wabunge waanze kulipa kodi
2) serikali ipunguze gharama za magari etc
3) Mali kadhaa za ccm zirudi serikalini na ziendelezwe vyema
4) kodi ya majaazi isimamiwe vyema,kimaeneo na kimatumizi! Mfano karemu ka biashara mjini kati ni 600,000/- serikali inapata ngapi?
5) kampuni za bima,betting, vileo kodi iongezeke zakimataifa zidhibitiwe.
6) madini hayajasimamiwa vyema.
7) wasanii wakubwa wapigwe vyema kodi kuendana na vipato sio wanakufuru na mihela.
8) matajiri wakubwa wafatiliwe makusudi ulipaji wao wakodi,tunawaskia wakihojiwa wanaficha biashara zao huku wanachezea fedha.
9)kodi yakimya ipigwe kwenye baadhi ya program mtandaoni mfano Instagram,youtube, tik tok hawataki wafungiwe
10)
 
Spika mjinga kuwahi kutokea hapa Tz

Ilo bunge lililopitisha hayo mashudu ni bunge lenye chama kimoja tu tena cha mafisi
 
Bado ten percent kila mwisho wa mwezi kwenye total commission.
 

..Yote uliyosema nayakubali kwa 100%.

..Duniani kote vifo vya MADIKTETA vina washangiliaji.
 
ALIPE lile deni na kodi zetu alizozitumia ngambo kujitibu na mshahara wake na posho zikatwe kodi hiyo ndo njia mbadala
 
Huyu Pimbi mfupi mi msumbufu sana ila Gibril hayupo mbali kiviiiile
Siandiki kumtetea Ndugai, ila nakuuliza Je wewe unajua umbali wa huyo Gibril na wewe? Nadhani maeneo mengine tungepitaga mbali tu!
 
Hiyo haitafutwa kamwe, hapo mnapigwa geresha muizoee then watawajia na hadithi nyingine, wako hatua kadhaa mbele yenu.
Hiyo wameshamaliza na sasa wanapiga hesabu za mbele kupata vyanzo vingine, mtafinywa sana tu.
Hakuna kuzoea kuibiwa.. watu tunatafuta namna ya kuminimize hiyo miamala na hatimaye kuacha kabisa.
Impact kubwa ipo kibiashara, mawakala washaanza kulia njaa wateja hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…