Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hili kabila ni mtihani sanaHana jipya huyu mgogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili kabila ni mtihani sanaHana jipya huyu mgogo
Nafikili kila shule ipate walim wa kujitolea sie mazazi tuwachangie ili kupata ufanisi mzuri , kuliko kulazimisha kuongeza , masomoAkikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Mh Speaker ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa wanafunzi.
Akitolea mfano wa Balozi Mbelwa Kairuki alichomsimulia kule China mwaka jana, Ndugai amesema kuwa kule China vijana wanajua mambo mengi sio kama hapa Tanzania ambapo kijana anajua kazi moja tu kama ni fundi ujenzi ni ujenzi tu na kama ni kuchomelea ni kuchomelea tu.
"Kwanini mwalimu wa high school nafundisha somo moja" eti mmesomea kufundisha somo moja tu ili iweje na uhaba huu wa walimu alihoji speaker Ndugai.
Anatakiwa afundishe masomo matatu, manne au hata kuendelea .hali iliyoibua hoja ya mkwamo wa walimu wanaongojea kazi serkalini na kujiuliza watakwenda wapi? Kama wazo la speaker litafanyiwa kazi.
Hata hivyo suala la kuongeza masomo haliwezekani mtu mmoja hawezi kufundisha masomo zaidi ya matatu yale aliosoma advanced level. Mostly ni masomo mawili.Nafikili kila shule ipate walim wa kujitolea sie mazazi tuwachangie ili kupata ufanisi mzuri , kuliko kulazimisha kuongeza , masomo
Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Mh Speaker ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa wanafunzi...
Fikiria unaambiwa ufundishe Physics, Chemistry, Biology na Mathematics A-level.Walimu wanaofundisha somo moja, wapo vizuri kuliko wanaofundisha masomo mawili na kuendelea.
Kuna mambo ya ajabu.Kinachoharibu hii nchi ni kuwaachia watu wenye akili finyu kuamua mambo makubwa.
Masomo mawili yenyewe tu mziki......Fikiria unaambiwa ufundishe Physics, Chemistry, Biology na Mathematics A-level.
Mziki wake unauonaje?
A jack of all trades but master of noneFikiria unaambiwa ufundishe Physics, Chemistry, Biology na Mathematics A-level.
Mziki wake unauonaje?
Nilichogundua viongozi wengi wanafikiri kufundisha ni kama kusoma risala tu.Hawa ndio think tank wa maccm