Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

Hovyo kabisa wewe
 
Wanawake wana uwezo mkubwa sana pia. Vyama vinapaswa kuwapa nafasi katika Uongozi hasa katika kuwakilisha wananchi Bungeni
 

Jamani wawape polisi, magereza na jeshi. Walifanya kazi nzuri sana uchaguzi huu, angalao CCM iwafanyie fadhila. Inaelekea CHADEMA hawana shida na viti hivyo.
 
CDM ilishajifia unaishi wapi wewe?.
 
Viti maalumu CCM walioko bungeni wawe makini na Ndugai maana ni mgonjwa!Kinga ni bora kuliko tiba!

Waulizeni wenyeji juu ya huyu mgonjwa ghali zaidi duniani!Anatembelea uzi!
Jamaa ni full marukanga mungu mda si mrefu atamuita mawinguni kumlaki
 
Ni kweli kabisa, gunzi limeenda kukaa katikati ya betri ngoja tuone kama tochi itawaka.
Tuliwaambia hamkusikia sasa mmeelewa maana ya maendeleo ya vitu yanavyowahusu watu.
 
Huyu spika si ndiye alitoa taarifa ya awali kwa umma na ulimwengu kwamba bunge lijalo (hili la sasa) hakutakuwa na mbunge wa upinzani hata mmoja sasa anaanza kuhangaika nao wa kazi gani? Si wameshafanikisha mchezo mzima waliokuwa wamuepanga sasa watulie wayanywe matogwa waliyoyakoroga!
 

Leo ndo mnajua kua kumbe kuna Haki!
 
Hili Bunge la Ndugai sasa limekuwa rasmi ni kusanyiko la Wapumbavu.
 
Mpuuzi huyu mzee, si amefanikiwa kuifuta Chadema sasa analalamika nini? shame on him
 
Tuliwaambia hamkusikia sasa mmeelewa maana ya maendeleo ya vitu yanavyowahusu watu.

Ulimwambia nani, tumeona kwa macho yetu umwagaji wa damu na kura za kwenye mabeg. Uzuri hata yule aliyekuwa haamini kuwa tunaongozwa kidictator kajionea kwa macho. Watu wataendelea kukaa kimya kuhofia maisha yao, lakini hiyo haimaanishi kuwa hawajui kilichoendelea kwenye uchaguzi huu.
 
Nikifungua Tv nikaona tu bunge nafunga. Utashabikiaje timu inapocheza yenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…