Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.

Wahandisi wamefanya nn tena?
Bungeni kuna vituko! Wanalipwa posho kwa siku, wanakosa ya kuongea na ili siku ziende na posho ziongezeke wananzisha porojo. Anamwonea wivu naibu wake kuitwa Dr. Alizuiwa kusoma? Atembelee vyuo vikuu (ajitahidi kwanza kuendesha bunge kwa weledi) anaweza tunukiwa moja ya hisani.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.

Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo.

Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo, Jumatano, Septemba 1, 2021 bungeni katika kipindi cha mjadala wa hoja za wabunge kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali uliowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi.

Amesema anajua atashambuliwa na mawakili mitandaoni lakini anataka kujua iwapo hawaoni aibu kujiita ni wasomi wakati nchi ina wasomi wengine.

“Najua watanishambulia katika mitandao, ..ah lakini huo ndiyo ukweli nani asiyekuwa msomi katika nchi hii, au wengine hawajasoma, kwani hamuoni aibu fulani hivi kujiita wasomi wakati kuna wengine katika nchi hii wamesoma,” amehoji Ndugai.

Spika amesema; “kuna wakati nitahitaji mnishauri kuhusu hili la wanasheria kujiita wakili msomi, huu ni utaratibu fulani ulioanzishwa na wenzetu Waingereza wa kutukuza baadhi ya kada,’’

Ndugai amezitaja kada nne zinazompa shida na anawashangaa kuona wakitukuzwa kuliko wengine licha ya wengi kuwa ni wasomi.

Kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati siyo lazima iwe hivyo.

Kuhusu mawakili amehoji kama wakibaki na neno la wakili watapungukiwa kitu gani huku akiweka wazi kuwa neno msomi linawaongezea kitu gani kwa Watanzania wasiopenda kujikweza katika mambo mengine.

Kwa kada alizozitaja Spika, mawakkili hujiita wakili msomi, wahasibu hupenda kuanza na neno CPA, wahandisi hutumia neno la ‘Engineer’ na waliosoma shahada za uzamivu (PhD) majina yao huanza na neno DkView attachment 1920134
Hoja ya tozo ndio ingeeleweka! Nani kamkataza mtu kujiita msomi ? Nae aruhusiwa tu kujiita atakavyo. Hata ukijiita vuvuzela msomi hujakatazwa bado. Ni maamuzi tu !
 
Au chanjo imechachamaa kichwani jamani?,au ndio mwanzo wa ule mwisho aliotabiri Lema
 
Hivi huyu mtu aliokotwa wapi na Nani mpaka akakaliia kiti walichokalia akina Msekwa na wengine tunaowaheshimu mpaka kesho pamoja na kwamba nao walikuwa na mapungufu kama tulivyo wote?
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.

Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo.

Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo, Jumatano, Septemba 1, 2021 bungeni katika kipindi cha mjadala wa hoja za wabunge kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali uliowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi.

Amesema anajua atashambuliwa na mawakili mitandaoni lakini anataka kujua iwapo hawaoni aibu kujiita ni wasomi wakati nchi ina wasomi wengine.

“Najua watanishambulia katika mitandao, ..ah lakini huo ndiyo ukweli nani asiyekuwa msomi katika nchi hii, au wengine hawajasoma, kwani hamuoni aibu fulani hivi kujiita wasomi wakati kuna wengine katika nchi hii wamesoma,” amehoji Ndugai.

Spika amesema; “kuna wakati nitahitaji mnishauri kuhusu hili la wanasheria kujiita wakili msomi, huu ni utaratibu fulani ulioanzishwa na wenzetu Waingereza wa kutukuza baadhi ya kada,’’

Ndugai amezitaja kada nne zinazompa shida na anawashangaa kuona wakitukuzwa kuliko wengine licha ya wengi kuwa ni wasomi.

Kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati siyo lazima iwe hivyo.

Kuhusu mawakili amehoji kama wakibaki na neno la wakili watapungukiwa kitu gani huku akiweka wazi kuwa neno msomi linawaongezea kitu gani kwa Watanzania wasiopenda kujikweza katika mambo mengine.

Kwa kada alizozitaja Spika, mawakkili hujiita wakili msomi, wahasibu hupenda kuanza na neno CPA, wahandisi hutumia neno la ‘Engineer’ na waliosoma shahada za uzamivu (PhD) majina yao huanza na neno DkView attachment 1920134
Mh.Spika Job Ndugai yuko sahihi kabisa......

Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya KIJINGA.....

Nani asiyejua kuwa hawi mtu WAKILI bila ya kusoma?!!!

Kuna wakili gani "maimuna"?!!!!

Waache hizo banaaaa....

MSOMI ALIYEELIMIKA NA KUITAMBUA THAMANI YA ELIMU HUWA HAJIKWEZI......

#SiempreBungeLililoChiniYaMh.Ndugai
 
Ila Yuko sawaa eti wakili msomi ..namkumbuka Sana advocate njombi
 
Mbona yeye hakatai kuitwa mheshimiwa? Au anaona amezungumza jambo la kiheshimiwa hapo?

Hajasoma ndio maana angekua na PhD pia tungekoma
 
Pia atueleze kwa nini mbunge aitwe mheshimiwa?? Ana kitu gani zaidi wakati wabunge wengine ni darasa la saba, form four, tena division zero?? Enzi za Mwalimu Nyerere huo upuuzi wa kuitana mheshimiwa haukuwepo ilikuwa ni "ndugu".
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.

Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo.

Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo, Jumatano, Septemba 1, 2021 bungeni katika kipindi cha mjadala wa hoja za wabunge kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali uliowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi.

Amesema anajua atashambuliwa na mawakili mitandaoni lakini anataka kujua iwapo hawaoni aibu kujiita ni wasomi wakati nchi ina wasomi wengine.

“Najua watanishambulia katika mitandao, ..ah lakini huo ndiyo ukweli nani asiyekuwa msomi katika nchi hii, au wengine hawajasoma, kwani hamuoni aibu fulani hivi kujiita wasomi wakati kuna wengine katika nchi hii wamesoma,” amehoji Ndugai.

Spika amesema; “kuna wakati nitahitaji mnishauri kuhusu hili la wanasheria kujiita wakili msomi, huu ni utaratibu fulani ulioanzishwa na wenzetu Waingereza wa kutukuza baadhi ya kada,’’

Ndugai amezitaja kada nne zinazompa shida na anawashangaa kuona wakitukuzwa kuliko wengine licha ya wengi kuwa ni wasomi.

Kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati siyo lazima iwe hivyo.

Kuhusu mawakili amehoji kama wakibaki na neno la wakili watapungukiwa kitu gani huku akiweka wazi kuwa neno msomi linawaongezea kitu gani kwa Watanzania wasiopenda kujikweza katika mambo mengine.

Kwa kada alizozitaja Spika, mawakkili hujiita wakili msomi, wahasibu hupenda kuanza na neno CPA, wahandisi hutumia neno la ‘Engineer’ na waliosoma shahada za uzamivu (PhD) majina yao huanza na neno DkView attachment 1920134
Nakubaliana na Ndugai. Ili kutenda haki hata wabunge wasiitwe waheshimiwa kwani binadamu wote wanastahili heshima. Hata spika asipende kuitwa spika badala yake aitwe Ndugai kama ninavyoitwa Father of You All.
 
Madhara ya chanjo aya, Anyway kaamua kukereka mwenyewe wala aja shikiwa mtutu ili akereke
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.

Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo.

Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo, Jumatano, Septemba 1, 2021 bungeni katika kipindi cha mjadala wa hoja za wabunge kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali uliowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi.

Amesema anajua atashambuliwa na mawakili mitandaoni lakini anataka kujua iwapo hawaoni aibu kujiita ni wasomi wakati nchi ina wasomi wengine.

“Najua watanishambulia katika mitandao, ..ah lakini huo ndiyo ukweli nani asiyekuwa msomi katika nchi hii, au wengine hawajasoma, kwani hamuoni aibu fulani hivi kujiita wasomi wakati kuna wengine katika nchi hii wamesoma,” amehoji Ndugai.

Spika amesema; “kuna wakati nitahitaji mnishauri kuhusu hili la wanasheria kujiita wakili msomi, huu ni utaratibu fulani ulioanzishwa na wenzetu Waingereza wa kutukuza baadhi ya kada,’’

Ndugai amezitaja kada nne zinazompa shida na anawashangaa kuona wakitukuzwa kuliko wengine licha ya wengi kuwa ni wasomi.

Kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati siyo lazima iwe hivyo.

Kuhusu mawakili amehoji kama wakibaki na neno la wakili watapungukiwa kitu gani huku akiweka wazi kuwa neno msomi linawaongezea kitu gani kwa Watanzania wasiopenda kujikweza katika mambo mengine.

Kwa kada alizozitaja Spika, mawakili hujiita wakili msomi, wahasibu hupenda kuanza na neno CPA, wahandisi hutumia neno la ‘Engineer’ na waliosoma shahada za uzamivu (PhD) majina yao huanza na neno DkView attachment 1920134
Huyu ana mfadhaiko wa ndani, kila siku ni kupambana na watu tu
 
Mwambieni arudi shule, watu wamezipigania taaluma zao kwa jasho na damu lazima watambulike.

Na wao wakitaka tutawaita kwa vyeo vyao. Mwalim fulan bin fulan
 
Spika Ndugai ataonyesha mspungufu yake kipindi hiki kwa sababu bunge lina watu wengi wa kawaida kipindi kile unakuta huyu kaja na hoja hii haijaisha mara Zitto kauliza swali kule Mnyika sijui Silinde hapo siku imeisha sasa hivi kwa wabunge hawa wanaotishia kamati ya maadili tutasikia mengi ila mimi siamini kama Tanzania itapata maendeleo kwa kupitia wale wabunge labda ufanyike mchakato mwingine...
 
Kweli.Hapo ujue ni kauli za kutengeneza zengwe na fitna kwa watu wenye nafasi,na kuwachongea kwa mamlaka zilizowateua!

Kachukizwa na Jerry Silaa kwenda na bag lenye mavitabu alipoitwa kwny kamati ya maadili.
 
Back
Top Bottom