Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyani haoni ku*duleNa wenzi wao pia hupenda kuitwa Waheshimiwa. Enzi zile tukimuita mke wa Mwalimu, Mama Maria Nyerere.
Nzuguni kwa masister...Ubunge ni heshima kwa wabunge na ipo duniani kote.
Ila hakupaswa kusema mambo alosema ndani ya bunge, alipaswa kuzungumzia kwenye baa sehemu kama Mahomanyika Nzuguni.
Huwa anajsikia atawale dunia nzima awe anaamua tufanye Nini ama tulalajeSpika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.
Wahandisi wamefanya nini tena?
Si kwakuwa yeye alivikosa!Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo.
Kwamba hizo nyingine ndo mteremko?Jamaa sijui Ana akili gani. Alichukia Assad kuitwa Prof akadai huko nje mtu anaitwa jinale bila Ilo la usomi.
Ana wivu Sana. Aliumia manager wa tarura kulipwa kuliko mkurugenzi.
Yeye anajua kusoma kuwa mhandisi unajenga daraja ama ghorofa watu wanaishi halianguki, ama daktari anakupasua anakutoa figo yako anaweka nyingine anadhani kuwa ni sawa kusoma socialogy, ama community development.
Haya udaktari wa kusomea anajua mtu ameusotea miaka mingapi, amehaso kinouma Sana.
Ila huyu jamaa hajui mziki uliopo wa hizo fani.
Hiyo CPA inamuumiza kichwa atakuwa ameshindwa kuipata.
Ngoja nigugo elimu yake niione alisomea Nini.
Yaani mpaka ameshindwa kazi iliyompeleka huko.
So anaumia dkt. Tulia kumzidi so anataka alingane naye.
Yaani binadamu anaonekana anaumia Sana na nonsenses
Hahaha Juda iscariot Street no 12 Barabara ya nane kwa mke wake na yesuHali ya maisha ya watanzania wa jimbo lake wala hayamkeri? Labda akistaafu atahamia, Jerusalem, Street No: 12 Judah Iscariot.[emoji1134]
Jelli slaa kasababisha[emoji3][emoji3][emoji3]Kwani ni nini kimempata mapaka akasirikie Elimu za wasomi?
Umesema wewe. Naona unaniwekea maneno mdomoniKwamba hizo nyingine ndo mteremko?
Hata ukiitwa haiongezi kituNIKIWA KAMA MSOMI NIMESHTUKA KUONA WATU WAKIJADILI WAKILI MSOMI SIJUI WAKINA MACPA .....
KIUKWELI TUNAPOELEKEA MTAANZA KUTUGUSA WAKINA MA ENGN WAKINA MAPROF NA SIHABA MBELENI MKAANZA KUGUSA MAHSGAL WASOMI.....
TUBADILIKE KIDOGO TUHESHIMU ELIMU ZA WATU WEWE KAMA HUKUFIKIA ENEO HILO KUWA MPOLE TU WATAENDELEA KUITWA WAKILI MSOMI MPAKA WAFE HAKUNA JINSI
MWISHO TUCHUKUE MDA KUJADILI MAMBOO YA MAANA SEHEMU YA MAANA KULIKO KUANZA KUJADILI ELIMU ZA WATU
NdiooheshimaauetuuhakunajinsimkuumtaitaaaaaatuuuHata ukiitwa haiongezi kitu
Mkuu mkuu mkuuNdiooheshimaauetuuhakunajinsimkuumtaitaaaaaatuuu