Bungeni kuna vituko! Wanalipwa posho kwa siku, wanakosa ya kuongea na ili siku ziende na posho ziongezeke wananzisha porojo. Anamwonea wivu naibu wake kuitwa Dr. Alizuiwa kusoma? Atembelee vyuo vikuu (ajitahidi kwanza kuendesha bunge kwa weledi) anaweza tunukiwa moja ya hisani.Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.
Wahandisi wamefanya nn tena?
Kama Ubunge ni heshima na vivyo hivyo Udaktari, Uhandisi, Uwakili n.k. ni heshima na inajulikana duniani koteUbunge ni heshima kwa wabunge na ipo duniani kote.
Ila hakupaswa kusema mambo alosema ndani ya bunge, alipaswa kuzungumzia kwenye baa sehemu kama Mahomanyika Nzuguni.
Hoja ya tozo ndio ingeeleweka! Nani kamkataza mtu kujiita msomi ? Nae aruhusiwa tu kujiita atakavyo. Hata ukijiita vuvuzela msomi hujakatazwa bado. Ni maamuzi tu !Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.
Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo.
Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo, Jumatano, Septemba 1, 2021 bungeni katika kipindi cha mjadala wa hoja za wabunge kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali uliowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi.
Amesema anajua atashambuliwa na mawakili mitandaoni lakini anataka kujua iwapo hawaoni aibu kujiita ni wasomi wakati nchi ina wasomi wengine.
“Najua watanishambulia katika mitandao, ..ah lakini huo ndiyo ukweli nani asiyekuwa msomi katika nchi hii, au wengine hawajasoma, kwani hamuoni aibu fulani hivi kujiita wasomi wakati kuna wengine katika nchi hii wamesoma,” amehoji Ndugai.
Spika amesema; “kuna wakati nitahitaji mnishauri kuhusu hili la wanasheria kujiita wakili msomi, huu ni utaratibu fulani ulioanzishwa na wenzetu Waingereza wa kutukuza baadhi ya kada,’’
Ndugai amezitaja kada nne zinazompa shida na anawashangaa kuona wakitukuzwa kuliko wengine licha ya wengi kuwa ni wasomi.
Kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati siyo lazima iwe hivyo.
Kuhusu mawakili amehoji kama wakibaki na neno la wakili watapungukiwa kitu gani huku akiweka wazi kuwa neno msomi linawaongezea kitu gani kwa Watanzania wasiopenda kujikweza katika mambo mengine.
Kwa kada alizozitaja Spika, mawakkili hujiita wakili msomi, wahasibu hupenda kuanza na neno CPA, wahandisi hutumia neno la ‘Engineer’ na waliosoma shahada za uzamivu (PhD) majina yao huanza na neno DkView attachment 1920134
Mh.Spika Job Ndugai yuko sahihi kabisa......Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.
Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo.
Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo, Jumatano, Septemba 1, 2021 bungeni katika kipindi cha mjadala wa hoja za wabunge kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali uliowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi.
Amesema anajua atashambuliwa na mawakili mitandaoni lakini anataka kujua iwapo hawaoni aibu kujiita ni wasomi wakati nchi ina wasomi wengine.
“Najua watanishambulia katika mitandao, ..ah lakini huo ndiyo ukweli nani asiyekuwa msomi katika nchi hii, au wengine hawajasoma, kwani hamuoni aibu fulani hivi kujiita wasomi wakati kuna wengine katika nchi hii wamesoma,” amehoji Ndugai.
Spika amesema; “kuna wakati nitahitaji mnishauri kuhusu hili la wanasheria kujiita wakili msomi, huu ni utaratibu fulani ulioanzishwa na wenzetu Waingereza wa kutukuza baadhi ya kada,’’
Ndugai amezitaja kada nne zinazompa shida na anawashangaa kuona wakitukuzwa kuliko wengine licha ya wengi kuwa ni wasomi.
Kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati siyo lazima iwe hivyo.
Kuhusu mawakili amehoji kama wakibaki na neno la wakili watapungukiwa kitu gani huku akiweka wazi kuwa neno msomi linawaongezea kitu gani kwa Watanzania wasiopenda kujikweza katika mambo mengine.
Kwa kada alizozitaja Spika, mawakkili hujiita wakili msomi, wahasibu hupenda kuanza na neno CPA, wahandisi hutumia neno la ‘Engineer’ na waliosoma shahada za uzamivu (PhD) majina yao huanza na neno DkView attachment 1920134
Nakubaliana na Ndugai. Ili kutenda haki hata wabunge wasiitwe waheshimiwa kwani binadamu wote wanastahili heshima. Hata spika asipende kuitwa spika badala yake aitwe Ndugai kama ninavyoitwa Father of You All.Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.
Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo.
Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo, Jumatano, Septemba 1, 2021 bungeni katika kipindi cha mjadala wa hoja za wabunge kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali uliowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi.
Amesema anajua atashambuliwa na mawakili mitandaoni lakini anataka kujua iwapo hawaoni aibu kujiita ni wasomi wakati nchi ina wasomi wengine.
“Najua watanishambulia katika mitandao, ..ah lakini huo ndiyo ukweli nani asiyekuwa msomi katika nchi hii, au wengine hawajasoma, kwani hamuoni aibu fulani hivi kujiita wasomi wakati kuna wengine katika nchi hii wamesoma,” amehoji Ndugai.
Spika amesema; “kuna wakati nitahitaji mnishauri kuhusu hili la wanasheria kujiita wakili msomi, huu ni utaratibu fulani ulioanzishwa na wenzetu Waingereza wa kutukuza baadhi ya kada,’’
Ndugai amezitaja kada nne zinazompa shida na anawashangaa kuona wakitukuzwa kuliko wengine licha ya wengi kuwa ni wasomi.
Kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati siyo lazima iwe hivyo.
Kuhusu mawakili amehoji kama wakibaki na neno la wakili watapungukiwa kitu gani huku akiweka wazi kuwa neno msomi linawaongezea kitu gani kwa Watanzania wasiopenda kujikweza katika mambo mengine.
Kwa kada alizozitaja Spika, mawakkili hujiita wakili msomi, wahasibu hupenda kuanza na neno CPA, wahandisi hutumia neno la ‘Engineer’ na waliosoma shahada za uzamivu (PhD) majina yao huanza na neno DkView attachment 1920134
Kweli.Hapo ujue ni kauli za kutengeneza zengwe na fitna kwa watu wenye nafasi,na kuwachongea kwa mamlaka zilizowateua!Kuna watu fulanifulani amewalenga hapo.
Huyu ana mfadhaiko wa ndani, kila siku ni kupambana na watu tuSpika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.
Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo.
Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo, Jumatano, Septemba 1, 2021 bungeni katika kipindi cha mjadala wa hoja za wabunge kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali uliowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi.
Amesema anajua atashambuliwa na mawakili mitandaoni lakini anataka kujua iwapo hawaoni aibu kujiita ni wasomi wakati nchi ina wasomi wengine.
“Najua watanishambulia katika mitandao, ..ah lakini huo ndiyo ukweli nani asiyekuwa msomi katika nchi hii, au wengine hawajasoma, kwani hamuoni aibu fulani hivi kujiita wasomi wakati kuna wengine katika nchi hii wamesoma,” amehoji Ndugai.
Spika amesema; “kuna wakati nitahitaji mnishauri kuhusu hili la wanasheria kujiita wakili msomi, huu ni utaratibu fulani ulioanzishwa na wenzetu Waingereza wa kutukuza baadhi ya kada,’’
Ndugai amezitaja kada nne zinazompa shida na anawashangaa kuona wakitukuzwa kuliko wengine licha ya wengi kuwa ni wasomi.
Kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati siyo lazima iwe hivyo.
Kuhusu mawakili amehoji kama wakibaki na neno la wakili watapungukiwa kitu gani huku akiweka wazi kuwa neno msomi linawaongezea kitu gani kwa Watanzania wasiopenda kujikweza katika mambo mengine.
Kwa kada alizozitaja Spika, mawakili hujiita wakili msomi, wahasibu hupenda kuanza na neno CPA, wahandisi hutumia neno la ‘Engineer’ na waliosoma shahada za uzamivu (PhD) majina yao huanza na neno DkView attachment 1920134
Kweli.Hapo ujue ni kauli za kutengeneza zengwe na fitna kwa watu wenye nafasi,na kuwachongea kwa mamlaka zilizowateua!